Ushauri wa kununua smartphone

young j

Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
59
Reaction score
17
Habari zenu wana jamvi! Nahitaji kununua smartphone nzuri kwa gharama isiyozid Tshs 720,000 naomba ushauri wenu nichukue aina gani mana najua hapa ntapata ushauri mzuri. Asanten
 
Budget kubwa chukua ya 120000 hiyo nyingine Fanya kuniazima niizungushe kwenye mishe mishe zangu nikulipe kwa riba

Ni mtazamo tyu
 
Habari zenu wana jamvi! Nahitaji kununua smartphone nzuri kwa gharama isiyozid Tshs 720,000 naomba ushauri wenu nichukue aina gani mana najua hapa ntapata ushauri mzuri. Asanten
Chukua note 5 na chenji inabaki, au Galaxy S7 na cheji inabaki
 
ukiomba ushauri wa kununua simu utaje na matumizi yako maana kuna simu za kila namna
 
Ivi bado mpaka Leo kuna mijitu inatamaa ya kununua simu za bei wakat Vyuma vimekaza.
Embu msaidie Mama yako kule kijijin apalilie mahindi yake.
Nunua simu ya kawaida just iwe na uwezo kiasi.
Naamin laki mbili ukinunua Techno yeyote ya bei hizo utapata kila kitu. Na storage ni GB 16 tu
 
Mkuu vyuma avijakaza kwa kila mtu we pambana na hali yako
 
We unafikr kila mtu vyuma vimekaza[emoji3]
 
Chukua itel p51 au tecno spark k7 na change inayobaki mtumie bibi yako kule kijijini karatu
 
Habari zenu wana jamvi! Nahitaji kununua smartphone nzuri kwa gharama isiyozid Tshs 720,000 naomba ushauri wenu nichukue aina gani mana najua hapa ntapata ushauri mzuri. Asanten
Chukua Infinix Note 4pro 32 gb
 
Iko siku utaanzisha mada ukiuliza uowe/uoe mke wa aina gani?! 😀😀
 
Habari zenu wana jamvi! Nahitaji kununua smartphone nzuri kwa gharama isiyozid Tshs 720,000 naomba ushauri wenu nichukue aina gani mana najua hapa ntapata ushauri mzuri. Asanten
IPhone 6
 

“Mijitu
Mbona kama umepanic....kaomba ushauri aina ya simu na sio kumpangia atumie vp pesa yake.
Relax!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…