hizo pc za atom huwa haziongezeki ram wanazichomelea humo humoKwa matumizi hayo hautapata shida pamoja na kwamba spec zipo kwenye low end lakini ni fair kwa bei hiyo bongo.
Itabidi utumie external HD au flash kuhifadhi movie zako maana 32GB ukishainstall windows itabaki nafasi ndogo sana.
Ongeza RAM to 4 GB kama unaweza au kama upo tayari kusubiri unaweza ukapata PC bora zaidi kutoka china for around 500,000. Mimi nimenunua hii Chuwi Hi10 Pro Dual OS 10.1" Tablet PC Intel Cherry Trail Z8350 Windows 10&Android 5.1 4G RAM 64G ROM 1920x1200 IPS Type C 3.0-in Tablet PCs from Computer & Office on Aliexpress.com | Alibaba Group
(Bundle 1 yenye keyboard dock $227 mkononi)
Fafanua zaidi, sijakuelewa.hizo pc za atom huwa haziongezeki ram wanazichomelea humo humo
ninavyofahamu inakubali kwa ku update laptop nzima (kununua nyengine)Inawezekana ila google inonyesha hiyo laptop Dell inaweza kussaport 4GB, pia kunaweza kukawa na tatizo na updates za Windows 10 kwa sababu ya uhaba wa nafasi kwenye hiyo machine ukiangalia Amazon reviews.
zipo laptop ambazo unaweza kuzi upgrade na zipo ambazo huwezi.Fafanua zaidi, sijakuelewa.
Asante, nimekuelewa.zipo laptop ambazo unaweza kuzi upgrade na zipo ambazo huwezi.
laptop nyengine unaweza chomoa cpu, ram, hdd, wifi etc ukabadili ukaeka nyengine, laptop kama thinkpad unaweza badili almost kila kitu hadi display unaweza toa ya kawaida ukaweka full HD display.
wakati huo huo laptop nyengine kila kitu kinakuwa kimechomelewa, kuanzia cou, ram, storage nk ili uvichomoe ni karibia mission impossible, wapo watu wanafanya ila ni wataalam wa hali ya juu na sio mteja wa kawaida kama sisi
Asante sana mkuu ngoja nizisubiri hizo pcmkuu kama mwezi tu zimetoka pc za apollo lake (goldmont) ambazo ni muendelezo wa braswell (pc hio) hivyo nakushauri achana nayo subiria za apollo lake ambazo utapata kama 50% boost kwenye single thread perfomance,
wote kina dell, HP, lenovo na wengineo wametoa hizo pc majina ni hayo hayo ila cpu ni tofauti na zipo option za 64gb na 4gb ram. bei ni as cheap as dola 189 hivyo itakuwa ni humo humo kwenye laki 4.
list ya cpu za apollo lake ni
-pentium N4200
-celeron N3450
-celeron N3350
na issue ya kudownload movie na internal ya 32gb angalia mara mbili mbili sababu windows na office itakula nusu ya hio storage pengine ubakiwa na kama gb10 free bado kuna updates za windows hapo.
ingekuwa ofisi tupu ungenunua.