Habari wana JF, naomba mwenye uzoefu wa gari aina ya Freelander anifahamishe nataka kuinunua ila nimesikia kuwa zinachemsha ( yaani kuwa haziwezi kwenda long safari). ni kweli??
Mie sio mtaalma sana.
Ila hizi gari vimeo,na ndio maana unaweza kukaa njiani siku nzima usione hata moja inapita na ikipita ni ya Serikali kama zile Hyundai.
Labda watu watakuja wakupe aina au model nzuri ya gari hizi.
Habari wana JF, naomba mwenye uzoefu wa gari aina ya Freelander anifahamishe nataka kuinunua ila nimesikia kuwa zinachemsha ( yaani kuwa haziwezi kwenda long safari). ni kweli??
Naomba kutoka nje ya mada kidogo kwa ruhusa ya ndugu mleta hoja:
Jana bungeni nimesikia kua gharama za uchakavu wa magari yanayoagizwa kutoka nje ya nchi itaanza kutozwa kuanzia magari yenye umri wa miaka 8 na kuendelea badala ya ile ya zamani 10 na kuendelea.
SWALI: Je hili utekelezaji wake utakuwa kwa kila gari itakayopitia bandari za Tanzania kuanzia mwaka mpya wa fedha wa serikali (1/7/2014) regardless ni lini gari hiyo ilinunuliwa kutoka nchi husika au itakuwa ni kwa zile gari zilizonunuliwa kuanzia tarehe tajwa tu?