Ushauri wa kujenga kwa gharama nafuu

Ushauri wa kujenga kwa gharama nafuu

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
2,291
Reaction score
798
Vijana wazalendo wameamua kujitolea kutoa ushauri kuhusu swala zima la ujenzi
utaweza kushauriwa kuhusu
1. Ramani nzuri kulingana na aina ya kiwanja chako, kipato chako, hali ya hewa nk
2.jinsi ya kuandaa bills of quantity au boq
3. kudhibiti gharama za ujenza
4. kusimamia ujenzi,
5. kuandaa schedule of materials,hii itakusaidia kuorder material
6. kuwalipa wajenzi

ushauri wa ziada
1. kuandaa mikataba
2.kuandaa tenda

NB. huduma hii ni bure kabisa, ni sawa na bure. vigezo na masharti kuzingatiwa

tupo survey karibu na chuo kikuu ardhi zamani UCLAS

mawasiliano
0763 315168
 
Back
Top Bottom