Asome electrical au electronics and telecom asitoke nje ya hapo
Electrical kibongo bongo ni nzuri sana kuanzia ajira mpaka kujiajiri
Electronics and telecom ni nzuri sana pia maana ndio dunia inapoelekea teknolojia yote imelala hapa ni yeye tu ashindwe kuwa creative, lastly ni rahisi sana kujiajiri.
Achana na mambo ya civil kila mtu siku hizi ni civil alafu ni ngumu kuonyesha creativity yako.