Nimekutana na rafiki yangu ambaye ni MWANANDOA wa miezi michache akaniomba USHAURI juu ya tatizo lake la kuwahi kupiga bao mapema sana wakati wa tendo la ndoa na kumfanya mwenzake ashindwe kuelewa shida ni nini ingawa huyu jamaa hakuwahi kukutana na mwanamke zaidi ya miaka 20. Mbali na hilo ni kwamba Mh. Akishapiga bao 1 ndo gem limeisha,shida ni nini na afanye nini ili kuinusuru NDOA YAKE?