Ushauri wa kindoa

Joined
May 28, 2023
Posts
61
Reaction score
79
Habarin wadau
Mm ni mwanandoa mwanaume, Nina watoto wawili, na kwa Sasa mkewangu ana ujauzito. Niko pekeyangu mkewangu yuko mbali nami kutokana na kuachana nae kwa sababu zisizojulikana kutokana na yeye kuficha sababu maalum na kutokutaka kukaa kikao chochote na wazaz wangu wala wa ukweni. Kapangayuko kwake.
Nikijiuliza kwa kina mtoto wa pili hatukumwita jina la mama mkwe, akidai mkewangu mama yake ni mshika dawa Sana tusimwite mtoto jina lake, alipata ujauzito ukatoka kwa kupandisha mizimu yaani ukatolewa kimizimu kwan sikutakiwa kufanya nae tendo siku hiyo, akaniambia hatokuja kuzaa tena halafu wamemwonea pia ili mimba ile iendelee kuwepo ningewasikiliza mizimu kwavile niliamua kufanya tendo nilikaidi ndiyo maana ujauzito ulitolewa.
alianza kujiagua kwa waganga wa kienyej hatimae nilimpa ujauzito tukiwa kwenye mtafaruko wa kindoa akiwa kapanga nam nikiwa nyumban(alikuwa anakuja na kuondoka)
baadae aliamua kutokurudi kabisa na kuamua kupanga na kulea ujauzito huko aliko
swali je nitumie njia gan arud au ni nn kinachofanyika kisiri?
ushauri tafadhali kwa wanaojua kiundani.
 
Dah haya mahusiano yanayohusisha mizimu mara waganga kutulia ni ngumu sana maana yanapata na kufuataga ushauri toka angles mbalimbali kitu ki nachopelekea myumbisho mkubwa sana kwenye familia.
Mkuu ngoja wenye experiences with such world wakushauri.
 
Muache huyo dada...

Ana maagano ya mizimu ni magumu sana...

Utazaa watoto mizimu ..

Utateseka...
Miaka 200 iliyopita kabla dini hazijaja Tanzania utajuaje babu yako alipatikana kwa njia hiyo ? Na wewe nizao wake?
 
Hapo unachezeshewa sebene hakuna cha mzimu wala mizimu kuna mzimu mtu (mjamaa) ndio moyo wake upo huko hata hizo mimba inawezekana za mzimu 😁
pole sana.
 
Kwann usiwaombe ushaur mizimu mkuu, maana uzi n full mizmu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…