Kwanza weka maelezo yako wazi, uko chuo kikuu wapi? Unahishi katika mazingira yapi? Hapo ulipo kuna fursa zipi? Ukishajibu maswali hayo - hapo tutaweza kukupa uzoefu wa kila utakachokuwa unawaza kufanya.
Mimi niko Mwanza nina rafiki yangu yuko Bugando University - anaendesha maisha yake kwa biashara ya grocery. Nafurahi kwa kuwa mi ndo nilimpa ushauri na nikamwandalia mwongozo wa kuendesha grocery hata usipokuwa karibu na sehemu ilipo.