120 ni nyingi sana, ukicheza zinapotea!! nadhani sijui kama mnayo Business plan, oh sorry, kwakuwa hajui afanye business gani maana yake kuwa hakuwa na business plan! Let us, design a project/business (needs time coz its a process), tukikubaliana tutaandaa Business plan itakayo tumika kama ROAD MAP! ni PM