Ushauri wa jinsi ya kujikwamua kiuchumi

Ushauri wa jinsi ya kujikwamua kiuchumi

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,576
Reaction score
3,882
Je, kwa mshahara wa take home laki tano, kwa kijana ambae hajaoa wala kua ktk serious relationship.
Ni yapi ya kuyafanya ili kua na msingi mzuri wa kiuchumi.

Naombeni mawazo yenu ndugu ktk hili
"Akili moja ilinituma nizichange change nikachukue Masters"
 
subr waje mkuu ila skuhz nyuzi zinaunganishwa sijapata ona, uzi unaweza uwe unahusu mada binafsi kama hii ukikohoa ukimalza washa u merge, tunakoelekea wataanza ku merge na comment
 
mambo kama kiwanja, ujenzi, biashara ni vizuri ukayafanya ukiwa msela. maana majukumu yakiongezeka magumu sana kumudu.. na mama zetu wana drama hawa wakija maishani balaa
 
Anzisha miradi na vyanzo vingine vya mapato, kama upo mikoa ya kilimo kama morogoro, Mbeya, rukwa, Lindi nk wekeza kwenye Kilimo huku ukiendelea kufanya kazi.

Kama upo mikoa kama Dar es salaam anzisha mradi wowote utakaoweza kuumanage vizuri kwa mfano unaweza kufungua saloon, unaweza kufungua car wash nk hiyo ni baadhi ya miradi ambayo ukidunduliza hiyo laki tano kwa miezi kadhaa unaweza ukaifungua.

Lakini kama unaona jau kufungua mradi basi tafuta uwanja. Kwa mfano Dar es salaam kuna makampuni yanauza Viwanja vilivyopimwa kwa mkopo unalipa kidogo kidogo kila mwezi kwa miaka mitatu au miezi 18, kwa mshahara wako unaweza kupata kiwanja na ukakilipia kila mwezi na pesa ya kula ikabaki
 
niko dar es salam, shukran be blessed
 
Back
Top Bottom