Peasant educator
JF-Expert Member
- Mar 13, 2020
- 209
- 187
Unaijua hiyo risk factor ya particular kiwanda? Toa mifanoWakati wastaafu hawalipwi halafu pesa zao zikawekwe kwenye high risks business kama viwanda?
Hawawezi lips km hawaingizi kitu, lazima wawekeze kwenye mradi itakayorudisha fedha ndani ya mwaka au miaka mwili baada ya mradi kukamilika na kuanza kuzalisha. They need business oriented ppl kwenye hiyo taasisiWakati wastaafu hawalipwi halafu pesa zao zikawekwe kwenye high risks business kama viwanda?
Habari wadau.
Katika sera za Hayati Magufuli kuelekea uchaguzi wa oct2020 alitoa ushauri kwa NSSF kutowekeza tena kwenye makongo na kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda.
Tathmini ndogo tu iliyofanyika ila sijachapa hii report, jengo la mlimani la blue (PPF tower km sijakosea) liligharimu about 250btsh na so far lina mpangaji mmoja km data hazijabadilika, fedha zile tunaweza jenga viwanda walau vitano (5 medium scale factories), inclusive of jengo machineries na capital ya kutosha kurun for more than a year na kuwekeza kutoa ajira za moja kwa moja takriban 200 kwa kila kiwanda. Ajira zisizo za moja kwa moja ni zaid ya 1000 kwa kila kiwanda.
Wanufaika wangekuwa wazalishaji wa nyanya kwa bidhaa za sause na ketchup, pamba kwa kutengeneza nguo, viazi na mazao na nafaka nyenginezo. Tungeweza tengeneza Ajira nyingi sana kila mwaka.
NSSF wamefikia wapi kwenye hili au zilikw siasa tu zile agizo lilipuuzwa?
Mchango bila mihemko na matusi yanakaribishwa!
NB: alipopatia JPM apongezwe kuna mda alikosa wasaidizi alikuwa na wasaka tonge wengi wamemzunguka. Ndo mana alikosa sehem nyengine ila alisema bora ujaribu na kusali kuliko kutojaribu kabisa.

Sjui kwanini hadi sasa hawajamkamata Erio hawa takukuruBaada ya Dau kuondolewa nssf na kuingia Kahyarara alianzisha miradi mkakati ya sukari huko mkulazi na mbigiri huko morogoro kwa ubia na ppf,
Tatizo Erio hakupenda Kahyarara awe ndo Mwenye mamlaka zaidi yake kwani alipenda zaidi kula pesa kitu ambacho kahyarara hakukiafiki.
Mwisho wa siku Erio akamuweka mtu wake kua CHIEF ACCOUNTANT(sasa DF NSSF) ambaye alianza kumchafua kahyarara ikafika wakati akaandika hundi na kumkabidhi Erio na Erio kuikabidhi kwa wana usalama ikamfikia Jpm kwa maelezo kua Kahyarara alitaka kuiba 200m,
Matokeo yake kahyarara katumbuliwa na Erio ku take Over.
Ila hakufanikiwa ktk kumalizia kazi ya mtangulizi wake mkulazi na matokeo yake mmeona hasara ya 4.7B katika ripoti ya CAG.
Jengo la mzizima twin tower tangu Erio aingie hakuliendeleza pamoja na ile ya hoteli ya mwanza, sababu kubwa ni kua hapakua na 10% tena maana contracts zilishasainiwa na mtangulizi wake Dau.
Huyu Erio alitegemea sana fadhila za wakubwa kwa sababu ya ujomba kwa hayati Mkapa, na zaidi kugawa rushwa.
Jengo la mlimani city there is a something fishy.[emoji848][emoji848] lichunguzwe