Loreen Senior Member Joined Dec 24, 2011 Posts 110 Reaction score 32 Jan 14, 2012 #1 habarini wanajf, kuna tatizo ambalo nahisi linasumbua wa2 wengi, ni hivi mnapoanza relation mpk level nyingine ni nani anatakiwa awe wa kwanza kumtamkia mwenzake kuwa wakajitambulishe au kufunga ndoa? je ni mwanamke au mwanaume? nisaidieni!
habarini wanajf, kuna tatizo ambalo nahisi linasumbua wa2 wengi, ni hivi mnapoanza relation mpk level nyingine ni nani anatakiwa awe wa kwanza kumtamkia mwenzake kuwa wakajitambulishe au kufunga ndoa? je ni mwanamke au mwanaume? nisaidieni!
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,220 Jan 14, 2012 #2 yoyote kati yenu
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,627 Jan 14, 2012 #3 kama unataka ndoa tafuta mtu ambae na yeye anatafuta ndoa sio lazima ukiwa kwenye relationship ni lazima ndoa ifungwe
kama unataka ndoa tafuta mtu ambae na yeye anatafuta ndoa sio lazima ukiwa kwenye relationship ni lazima ndoa ifungwe
Loreen Senior Member Joined Dec 24, 2011 Posts 110 Reaction score 32 Jan 14, 2012 Thread starter #4 smile kama ww ni msichana unatafutwa au unatafuta?
Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,658 Jan 14, 2012 #5 smile said: kama unataka ndoa tafuta mtu ambae na yeye anatafuta ndoa sio lazima ukiwa kwenye relationship ni lazima ndoa ifungwe Click to expand... swadakta
smile said: kama unataka ndoa tafuta mtu ambae na yeye anatafuta ndoa sio lazima ukiwa kwenye relationship ni lazima ndoa ifungwe Click to expand... swadakta
Michelle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,631 Reaction score 3,543 Jan 14, 2012 #6 mwanaume (kiafrika)....do not pressure him....!!
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,627 Jan 14, 2012 #7 Loreen said: smile kama ww ni msichana unatafutwa au unatafuta? Click to expand... mimi ni msichana natafutwa na anaenipenda sio mimi nitafute wala kumpenda mtu.inachosha
Loreen said: smile kama ww ni msichana unatafutwa au unatafuta? Click to expand... mimi ni msichana natafutwa na anaenipenda sio mimi nitafute wala kumpenda mtu.inachosha
T TUMY JF-Expert Member Joined Apr 22, 2009 Posts 705 Reaction score 93 Jan 14, 2012 #8 Hapo pia hakuna fomula, ila wakati wingine msukumo wa mtu na hamasa vinanaweza kumfanya yoyote kati ya msichana na mvulana akawa wa kwanza kutoa wazo.
Hapo pia hakuna fomula, ila wakati wingine msukumo wa mtu na hamasa vinanaweza kumfanya yoyote kati ya msichana na mvulana akawa wa kwanza kutoa wazo.