Ushauri wa haraka

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Vijana oeni baada ya kupevuka. Ila kubwa zaidi hakikisha uko na akili.
 
usikute hujui kuomba, haya tuambie uliombaje?
 
Mapenz changa,

Hawa wanawake tulikuw nao kwenye ndoa hasa wanaonyonyesha wanakuwa hawaelewek


Jitahd asiwe kuku control, tafut mchepuko ujiongeze mimi niki dili na mwanamke mmoja huw lazm nigombn nae maan hatonikiz
 
Usimtafute maadam ni mkeo atarudi, mpe muda atarudi mwenyewe.
 
Ebu mfukuze ukae single
Kuoa ni kupoteza muda na kujitia stress .
 
mpigie dada yake uhakikishe kuwa yuko huko kisha mwache usimtafute, kaka aliondoka mwenyewe na arudi mwenyewe ukimtafuta wewe unatengemeza msururu wa majambo huko mbele

Mwache ili ajue kuna red line ambayo si ruhusa kuondoka nyumbani bila taarifa
 
Niko naye hapa pub ya Anita anapata chips mishkaki. Leo hatarudi kwako maana bado una hasira.
Siku nyingine ukitaka puchi hata Kama Ni ya mkeo, lazima kwanza umuandae.
Nakuja pm kukusomesha jinsi ya kumuandaa. Hata yeye huku namfundisha jinsi ya kuandaliwa kabla ya tendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…