Jana nikiwa Quality Center na wife nimekutana uso kwa uso na Priska, akanicheck, akatabasam na kunipita huku akielekea nje. Nikatembea hatua chache na kumzuga wife kuwa kuna kitu nimeacha kwenye gari.
Nikarudi nje kasi ili nimuhoji prisca maswali ya msingi. Ile nafika parking hapo nje nikamuona anaingia ndani ya mark X nyeusi na ku reverse kwa kasi kisha akaondoka.
Nimechukua namba za gari, Je nireport police, au nimtruck kimyakimya?