Ushauri wa haraka unahitajika

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,173
Nimeijiwa na mama mmoja ambaye alikuja kuniomba ushauri juu ya ufumbuzi wa tatizo lake,alianza kunielekeza kwamba mme wake amemwekea tego.

walikuwa wakiishi pamoja lakini kwa miaka mitatu iliyopita mme wake alipata uhamisho kuhamia morogoro ndipo alipomwambia hakuna sababu ya kuhama wote.

Yeye habaki tu kwani atakuwa anarudi mara kwa mara kuja kumtimizia hitaji lake,

Matokeo haji kama alivyoahidi na yeye kama binadamu kamili anahitaji mapenzi,

Anasema alikuja kugundua kwamba ametegwa baada kutamkiwa na mumewe kwamba hana uwezo wa kwenda kufanya mapenzi nje ya ndoa yake,

Na aliprove hilo kwa mara ya kwanza pale alipoamua kwenda kura uroda na kijana mmoja,

Cha ajabu jamaa alishindwa kusimamisha dude lake na wakaishia kutazamana tu macho,

Amefanya hivyo zaidi ya mara nne matatizo ni hayo hayo,

Hakuna mtu aliyefanikiwa kula mzigo,

Anakumbuka siku moja mme wake wakati anasafiri alimtuma akamchukulie kisu ndani alipoenda kumchukulia alipomkabidhi alimtuma tena akamletee ala ya kisu alipomkabidhi alimtamkia kwamba kwishney.
 
Sasa ushauri gani unaotaka hapa?yani hizi story zenu za kutunga zinachosha sasa
 
kwahiyo? tuseme nini?

mwambie amsubiri mumewe
 
Na alomwambia Tego linategwa hivyo nani? mwambie ajitulize amsubiri mumewe asiendekeze ngono...au alitaka na wewe ujaribu ili uhakikishe kama kweli au? kwanza kwanini akuombe wewe ushauri kama huo hana mzazi wake wa kike hana dadake?
 
Na alomwambia Tego linategwa hivyo nani? mwambie ajitulize amsubiri mumewe asiendekeze ngono...au alitaka na wewe ujaribu ili uhakikishe kama kweli au? kwanza kwanini akuombe wewe ushauri kama huo hana mzazi wake wa kike hana dadake?

wapo mbali,ni ujirani tu unaokaribia na undugu
 
wapo mbali,ni ujirani tu unaokaribia na undugu
Asikushughulishe,sasa anataka kutegua ili aigawe kama pipi kisa bwana yuko mbali?
kwani aliko mumewe na aliko yeye mbali? apande basi akapewe dozi arudi au anaitaka 24/7?
 
mmmhhh!N orogoro ya Tanzania au bara gani?ambako hawezi kwenda kumtembelea mumewe hadi aamue kuchepuka na bwanamdogo? halafu mbona naona kama kuchepuka tunaanza kuona kama sifa badala ya aibu wandugu?
 
na la kwako halikusimama tehe tehe tehe tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…