kaka mimi sina cha kukushauri,ila mimi mwenyewe ninataka niingie shambani mwisho wa mwezi huu kama ikiwezekana,nimeshatafuta mtaji nimeupata nataka niingie kwenye tikiti
ila kijana hebu niambie ni wapi uliweza pata shamba au kama unamjua mtu anaekodisha unaweza niunganisha nae na mm nikkanza hata na heka moja kwanza.