Duh mkuu hii kweli je wewe huumii?umefanyaje kuwa normal?mpe njia umsaidie jamaa ki mawazoWewe unalialia kumbe Girlfriend,Mimi nimeoa,kikatoliki,watoto wawili,na mke wangu Anaolewa tena mwezi wa saba,sasa teyari ana Mimba ya huyo mshikaji,haya compare uone kama una kitu cha kuongea
🤣🤣😂Mkuu usilazimishe kupendwa, kama amekuacha na wewe achana nae, kikubwa pumzi bado unayo ebu jikite katika kutafuta pesa utaona wanakuja wenyewe[emoji2]
Ndugu hakuna kitu kinachouma kama kuchukuliwa mke,tena uwe unafahamu sasa anaekuchulia,Jamaa awe mpole tu,atafute hela,afanye kazi;vinginevyo ahame mji,hii itamsaidia kumsahau harakaDuh mkuu hii kweli je wewe huumii?umefanyaje kuwa normal?mpe njia umsaidie jamaa ki mawazo
Wewe unalialia kumbe Girlfriend,Mimi nimeoa,kikatoliki,watoto wawili,na mke wangu Anaolewa tena mwezi wa saba,sasa teyari ana Mimba ya huyo mshikaji,haya compare uone kama una kitu cha kuongea
🤣🤣[emoji23]
Mkuu hata kama kweli kiswahili ni kibantu hili neno umelitolea wapi
"usidhalazimishe"[emoji28]