neema pita
Member
- Apr 26, 2012
- 30
- 6
Unaweza acha ukiamua kwa dhati; sijawahi kupitia huko so l can't say for sure. Ila nina imani kwakuwa ulijifunza unaweza acha tu.
nilikua nasoma Bwiru girls sasa kulikua na mambo ya kijembe, best, sweet, na ukifika lazima upate best, sweet, darling waliokutangulia vidato ndo wanaokuomba nikama mtu kukuaproach ukikubali ndo mnakuwa mnafanya hivyo so nilianza nikiwa form onne jaman mpaka wakati mwingine nachukia basi tu

two questions, answer truthfully:
- are you emotionally attracted to your gf?
- do you feel the same towards your bf?
binafsi kwa sasa nachukia sana na nikijaribu kuacha yule rafiki angu wakike hataki na akiwa karibbu yangu basi nakua weak
ahaa, kumbe kijembe sometym kibaya! any way mi nijuavyo boarding panakuwa open na mnalala wengi chumba kimoja, sasa mnakuwa mnafanya mda gani? hamuonekani.
naenjoy zaidi napokua na gf wangu kuliko napokua na bf na nampenda sana bf wangu lakini kimapenzi naridhhika zaidi na gf wangu
Huwezi kuwa naye mbali?
Boyfriend wako ni muelewa? Kama ndiyo basi mshirikishe akusaidie kumpiga stop huyo galfriend wako.
nasoma na chuo kimoja sasa nashindwa kumkwepa ghafla, boyfriend wangu sio muelewa kabisa na amekamata msg nyingi kutoka kwa mpenzi wangu huyo na kuhisi kuna mwanaume anapitia kwake kuwasiliana na mimi nikimshirikisha atanitoa kizazi
Then it is up to you sasa, kama kweli hutaki kuendelea kufanya huo mchezo unaweza kuacha. Be strong, n mwambie it is over now!
Nimeweza acha mambo mengi kwa kuamua na kusali. Kama ni mkristu, funga hata kwa siku 3 ukiomba kuepukana na hilo pepo.