Habari wanajf, ninaomba ushauri wenu kuhusu gari hii, nimeipenda lakini ningependa kujua ubora, utumiaji mafuta na upatikanaji wa spare kwa gari hii. Naomba mwenye uzoefu nayo atoe ushauri.
Mkuu wewe bajaji inakufaa!spares ni kimeo