Ushauri wa elimu

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
786
Wadau naombeni kuelimishwa.

Binti yangu kamaliza Form Four kapata Div 1 ya point 10. Alifanya masomo ya biashara na kafaulu vizuri katika masomo husika.

Safari yake ya maisha anataka kuja kuwa Diplomat. Je ni combination gani asome A-level ambayo itakuwa na mchango katika safari yake?
 
HKL itamfaa zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…