Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Jul 17, 2012 #1 Bia moja tu kwa afya... Kweli kuna watu hamnazo aisee!:wink1:
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,716 Jul 17, 2012 #2 hahaha..nimeipenda.:second:
Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Jul 17, 2012 Thread starter #3 Neema said: hahaha..nimeipenda.:second: Click to expand... Umeona wanavyochemsha kwenye ushauri wao! Jamaa kaleta semi moja la bia kwani hakuambiwa kiasi...
Neema said: hahaha..nimeipenda.:second: Click to expand... Umeona wanavyochemsha kwenye ushauri wao! Jamaa kaleta semi moja la bia kwani hakuambiwa kiasi...
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jul 17, 2012 #4 Hiyo inanywesha kijiji kizima
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 604 Jul 17, 2012 #5 Kijiji kizima wakati jamaa kajiagizia yeye pekee kwa ushauri wa dokta.
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Jul 17, 2012 #6 philipo kidwanga said: Kijiji kizima wakati jamaa kajiagizia yeye pekee kwa ushauri wa dokta. Click to expand... Tena atakunywa ikiwa kwenye kopo hataki glass!
philipo kidwanga said: Kijiji kizima wakati jamaa kajiagizia yeye pekee kwa ushauri wa dokta. Click to expand... Tena atakunywa ikiwa kwenye kopo hataki glass!
Ngangasyonga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 455 Reaction score 71 Jul 17, 2012 #7 Atakua anakinga na ndoo!! na atakunywa mwezi mzima kama hataki washaji wasogee!!
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Jul 17, 2012 #9 Madokta wa wapi hao, huku kwetu si wamegoma bana?