Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,697
- 9,048
Mtani kwani hadi sasa ramli zinasemaje hapo kilingeniHivyo vyama vingine vya upinzani baadhi ni mapaka shume ya ccm
Kote tumekaba. Kila mbinu aliyotumia imekwama.Mtamuua magu kwa presha
Mtakoma mwaka huu. Kila mbinu tunaziba.Watu waanza Kumkana Lissuππ€£ππ€£π€£ Ukiona Watu waliokuwa wanakimbia kwenye msafara Wa Lissu wanaanza kumkana kwamba hafai kuwa Rais jiulizeni sana Kwanini.
Niko Mwanza huku Lissu alipokuja Kuna mshikaji wangu niliwahi kufanya nae kazi, Nilimwona akiwa kavua shati akiwa kwenye msafara Wa Lissu kabeba ba Bendela. Leo nimweoma hapa Rock city more namwambia Nilikuona Kwenye Msafara Wa Rais ,jamaa akasema Rais Gani hajielewi Anasema uwongo,anapinga kila kituππ€£ππ€£ nikasema safi watu wameenza kuelewaaaa KUWA LISSU NI MUHUNI
Unadhani mwenye chama anaweza kusikiliza utopolo huu?.Mbowe hana huu muda kamanda, aache kutwanga faru John zake afuatilie takataka ulizoandika never.Kufuatia kubandikwa kwa majina ya Wapiga kura kwenye Vituo vya kupigia kura, imebainika kuna Wapiga kura hewa(Ghost voters) na Vituo hewa vya kupigia Kura(Ghost Voters stations).Hii ni katika mbinu za kufanikisha Ushindi wa Chama TAWALA CCM...
Heri kuwa kipofu wa macho mwili kuliko kipofu wa fikra. Uwe hivyo hivyo kama fikra zako zinavyojieleza. Watanzania tunasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.Poleni wapinzani
Hivi kweli mlitegemea uchaguzi huru kutoka tume hii...
Safi Sana ila wapinzani wa Tanzania ni wapuuzi SanaHeri kuwa kipofu wa macho mwili kuliko kipofu wa fikra. Uwe hivyo hivyo kama fikra zako zinavyojieleza. Watanzania tunasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.
TUME IVUNJWE IUNDWE TUME INAYO JUMUISHA VYAMA VYOTE VILIVYOSAJILIWA TANZANIAKufuatia kubandikwa kwa majina ya Wapiga kura kwenye Vituo vya kupigia kura, imebainika kuna Wapiga kura hewa(Ghost voters) na Vituo hewa vya kupigia Kura(Ghost Voters stations).Hii ni katika mbinu za kufanikisha Ushindi wa Chama TAWALA CCM...