Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,204
Happy birthday to youuuuWasamaria wenzangu,nawasalimu..
Wakuu ni hivi, hapa nilipopanga naishi na mama house na bintiye. mtoto yupo sawa ila Mungu hakupi vyote,Nasikitika kusema mtoto hana CHURA,yani dogo Ni flatiScreen..
Sasa shida Ni hivi, yule dogo bda ya mda flani akawa anahitaji tuwe couple,na Mie na flati Ni vitu viwili tofauti, Ngoja niwape kisa sasa..
Kimasihara nikaanza kujiongeza kodi yangu,binti anakuja getho,anapika na kufua.Maza ake Ni mama wa kazi Sana,wikend ndio anakuwa home..
Sijui mchawai gani tu akampa scene nzima yule mdashi,mdashi akaja juu kwa binti ake, binti akamjbu maza ake dry kisa kapagawa na penzi la mpangaji..
Ndani kukawa tafrani, Msukuma sina cha kujitetea,mama hatimae akapiga simu police, roho wa bwana akanipa nguvu,nikapiga maombi pale,na hatimae nikaludi ndani kulala,roho saaafiii..
Baada kama ya dak10 wakaja askali na defender pale home,wakanichukua kwenye gali yao na sasa sijui wananipeleka wapi Tu,nikipata kamwanya ka kupiga selfie tapiga ili niwape kapicha..NISHAURINI NIFANYEJE
11/11 Ts my birthdai..Nawasalimu
Tanteeee,bora Ata ww umeishtukia hii thread, karibu bia..Happy birthday to youuuu
Njoo tumshushe mikono uyu mjamaaLeta keki
Mpuuuuzi Mkubwa weweWasamaria wenzangu,nawasalimu..
Wakuu ni hivi, hapa nilipopanga naishi na mama house na bintiye. mtoto yupo sawa ila Mungu hakupi vyote,Nasikitika kusema mtoto hana CHURA,yani dogo Ni flatiScreen..
Sasa shida Ni hivi, yule dogo bda ya mda flani akawa anahitaji tuwe couple,na Mie na flati Ni vitu viwili tofauti, Ngoja niwape kisa sasa..
Kimasihara nikaanza kujiongeza kodi yangu,binti anakuja getho,anapika na kufua.Maza ake Ni mama wa kazi Sana,wikend ndio anakuwa home..
Sijui mchawai gani tu akampa scene nzima yule mdashi,mdashi akaja juu kwa binti ake, binti akamjbu maza ake dry kisa kapagawa na penzi la mpangaji..
Ndani kukawa tafrani, Msukuma sina cha kujitetea,mama hatimae akapiga simu police, roho wa bwana akanipa nguvu,nikapiga maombi pale,na hatimae nikaludi ndani kulala,roho saaafiii..
Baada kama ya dak10 wakaja askali na defender pale home,wakanichukua kwenye gali yao na sasa sijui wananipeleka wapi Tu,nikipata kamwanya ka kupiga selfie tapiga ili niwape kapicha..NISHAURINI NIFANYEJE
11/11 Ts my birthdai..Nawasalimu
Nimeshawachenga,nipo nakula bia Tu apa..karibu mkuuWatoroke hao police
Ayah mi mpuuzi ndio nmekubali, aya nishauri na upuuzi Wang sasa we ambae sio mpuuziMpuuuuzi Mkubwa wewe
Hahah flat screen uwa tunawakumbuka linapokuja swala la kutafuta mke, kwa iyo bado thaman yenu ipo juu..happy birthday to u, hivi sisi flatscreen twende wapi kama kila siku mnataka wenye chura tu
Mkuu huwa unatumia hio kitu?? Mwenyewe hapa niko naimalizia kisichana cha piliNjoo tumshushe mikono uyu mjamaa
Itabidi sku moja nkualike mkuu tusherekeh msimu wa mavuno..Mkuu huwa unatumia hio kitu?? Mwenyewe hapa niko naimalizia kisichana cha pili