Mkuu....hapo kwenye kudanganya sio mara moja mara nyingi tuu tulikua tunagombana kwa maana alikua anapenda kutumia simu kidogo kucharti mara kwa mara Nikimuuliza huwa unacharti na nani Anajibu kwa usanii tuu....Bikra sio kitu kama umempenda kweli, shida tu ni kwamba kwanini akudanganye,,,? Na usikute alikua anatumika kwingine,,pole ila unaweza kimsamehe mkafunga ndoa. Ila umwambie aaache uongo
Mkuu...Hiyo B...A. Alitumiwa akajirekebisha sasa anataka awe nawe tu kwani kuna shida?
B. bikra zinatoka kwa namna nyingi sio kwa kufanya sex tu.
C. kujua kufanya au kuwa fundi hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kuwa anafanyaga. wewe kuna mtu alikufundisha kuingiza na kuchochea??
Wewe ungeangalia mienendo ya mtoto ma sio kuanza kuwaza ya nyuma. ukiingia kwenye ndoa na haya mawazo utaishindwa.
Hahaa...mkuu yani kinachoniumiza mtu makinikia kabisa yani unajua kabisa huyu mzoefu maana yake huo mwaka alikua anagawa kwa siri kabisaUlikutana na tunnel......
Embu tueleweshe vizuri mkuu
Ndio inakubidi uvumulie mkuu wadada wa sasa hivi huko chini kwa sasa ni kwa kukuletea watoto ila ukisema unataka ku enjoy tafuta na wewe dogodogo yaani hakuna ladha kabisa......Hahaa...mkuu yani kinachoniumiza mtu makinikia kabisa yani unajua kabisa huyu mzoefu maana yake huo mwaka alikua anagawa kwa siri kabisa
Shida tabia ya uongo mana kuna ugomvi ulitokeaga awali kwa sababu alikua ana charti na watu kwa simu ndogo nikimuuliza nasema hawa rafiki yangu tuu..lakini saivi sina trust kabisaHivi zile mada za kusema usimsomeshe mwanamke asiye ndugu yako ili uje umuoe huwa hamzisomi?? Kumsomesha mwanamke asiye ngudu yako ruksa tu kama unatoa msaada kibin adamu pasipo kutegemea lolote mbeleni. Sasa hapa unahuzunika na mambo mawili naona,
1. Ada yako uliyomsaidia
2. Umekuta mambo sio
Hapo kama kweli unampenda hayo hayajalishi kitu, kama ana tabia njema, anakupenda pia, mnaelewana... Ngudu huyo oa.
nimekuelewa.Mkuu...Hiyo B...
yeye kaniomba msamaha kuwa huyo jamaa aluyemtoa Bikra kuwa ndio alifanya naye mara moja tu ila mimi naona makinikia kabisa
Hapo pana tatizo sasa..... UAMINIFU ZERO.Shida tabia ya uongo mana kuna ugomvi ulitokeaga awali kwa sababu alikua ana charti na watu kwa simu ndogo nikimuuliza nasema hawa rafiki yangu tuu..lakini saivi sina trust kabisa
Shida uongo wake mana hata nyuma tuliwahi kugombana kisa masuala ya uongonimekuelewa.
Ok sasa ishu nini yeye kutokuwa na bikra au kukudanganya hajawahi kufanya huku amefanya?
Tuje kwako. wewe leo ukiulizwa na mwanamke umepita na wanawake wangapi utataja kona zote ulizopita hadi zile mbaya.
swali langu linalenga wewe deal na tabia zake za sasa kama kweli zinakushawishi yeye kuwa mkeo.
ya nyuma achana nayo...Naye ni mwanamke alikuwa anatongozwa kuna vidume kama wewe nao walishafanya yao.
Ndio mkuu yani hili ndio limeongeza kuwa UMENIFU ZEROHapo pana tatizo sasa..... UAMINIFU ZERO.
Kwanini umeomba ushauri mechi ikiwa dakika 90 sasa!Shida uongo wake mana hata nyuma tuliwahi kugombana kisa masuala ya uongo
Mkuu nilijua makosa ya kibinadamu kabisa yani ila hili la sasa kichwa kinauma sanaKwanini umeomba ushauri mechi ikiwa dakika 90 sasa!
vikao vya harusi vimeshaanza wqzazi utawaambiaje maana naona umeshai-set mind huyu demu hafai?
Kama uyaongeayo ni ya kweli... sio mwaminifu...tahadhari tu hakuna binadamu anayeweza kuwa mwaminifu 100%. uamuzi ni wako.
kosa kubwa lilianzia hapaTakribani mwaka mmoja na nusu saivi nilianza mahusiano na binti mmoja mrembo aisee moyo wangu aliushika sana ...
Ya kwenye ndoa ni zaidi ya hili jikakamue Mzee baba.Mkuu nilijua makosa ya kibinadamu kabisa yani ila hili la sasa kichwa kinauma sana
Kivipi mkuukosa kubwa lilianzia hapa