kwahiyo unataka kutuambia kuwa anaye
oa mwanamke mwenye 28 yrz anakuwa
anafikili kama mwanaume mwenye miaka 56..??
mkuu huo mtizamo wako ni "too local ".
Hiyo tafiti ya akili imefanyika wapi?
Tunaoa wanawake tuliowapita umri sababu wanawake wakizaa wanawahi kuchoka/kuzeeka
Pole kwa kudhani hivyo, ukweli ndo amesema mtoa mada. Wanawake wana akili ya maisha inayokomaa haraka kuliko mwanaume.
We mwache nyumbani mtoto wa kike hata wa 7 years na umpe kazi na umwache wa kiume. Utarudi wa kiume hata amesahau aliambiwa nini hata kama ni cha faida yake utakuta tofauti na maagizo.
Huo ukilaza wenu wengine hatuna kabisa,na kama kukomaa akili wengine tuko mbali japo tuna umri mdogo.
Tofauti kati ya miaka ya miaka 10 ni nzuri, wanawake wa kiafrica wanazeeka mapema japo wewe umetumia kipimo cha akili. Na ukimzidi sana miaka utaonekana umeoa mwanao au mjukuu!.
Sidhani kama mwanamke wa umri mmoja anamzidi mwanaume akili sikubaliani na wewe kwa hili ila nakubali inatakiwa kuwa na gap la 5-10yrs for healthy relationship, How? Mwanamke akiwa sawa au akikuzidi atataka kukukaa kichwani au mtashindana katika makubaliano kadhaa la pili wanawake wanazeeka mapema zaidi ya wanaume
Mpo?
Ni ukweli usio na pingamizi japo mchungu kuwa mwanamke anakomaa kiakili kuliko mwanaume.
Mwanamke wa miaka 20 ana akili sawa na mwanaume wa miaka 28.
Hii imekuwa sababu kubwa ya wanandoa kutalakiana. Mwanaume anapooa mwanamke wa rika lake, hapo hajaoa mke bali mshirika aliyemzidi kiakili, kiubunifu na mengineyo.
Itakuwa bora kama anayetarajia kuoa au kuolewa atafute aliyepishana naye kwa miaka ikipungua sana 10.(mume amzidi mke)
Mambo ya ushugadaddy na ushugananny waachie masharobaro!
Wanawake wa miaka hii sio wale wa zamani, labda kuna exceptional. Katika hilo la akili, sio miaka hii. Wengi wana akili za kitoto tu ilhali washakuwa wakubwa.
Labda useme physical appearance, niliwahi kudate na mtoto 10yrs younger lakini hakuna aliyesema ninabaka, miili yetu iliendana kawaida tu, lakini kiakili hakukuwa na kitu. Utoto na ujinga mwingi.
Mtoa mada yuko sahihi biological mwanamke ameumbwa na akili nyingi kuliko men,,ndo maana ukikuta msichana anaongoza darasan kuanzia darasa la kwanza n mpka chuo atakuwa vizur lkn n quite different na wanaume akil zetu ziko chin kwa uwezo alio nao mwanamke ss wanaume nguvu zetu na akil zote ziko katika kuangalia mali zaid,,, Tatizo la mwanamke pamoja na kuwa na akil nyingi n mwepes sana kushawishika pamoja kusahau kwa urahis sana..
Hahaha...sisy darling, hata wewe lazima utapata alokuzidi 10+Teh mimi nasema brod darling " ulimbaka"
"Lazima ntapata alonizidi 10+" teh maybe, maybe not. Na kwa nini uniwazie hilo gap?Hahaha...sisy darling, hata wewe lazima utapata alokuzidi 10+