Jamani nina tshs 150,000/- naelekea dukani kununua simu ya tecno, ninunue simu aina gani ya tecno itakayoniingiza kwenye ulimwengu wa digitali kama whatsapps, fb,tweeter, istagram n.k?
ushairi wa bure tafadhali.
Tecno p3 utapata kwa bei au hata chini ya hapo labda kwenye 130,000/=
Sijajua kuwa kama kuna nyingine utapata kwa bei hyo. Ila ukifika jaribu kuzunguka maduka tofauti ili kujua utofauti wa bei?
Mluzi huu unapoteza mbwa sasahivi.
L3,P3 ni ndogo kwa P5.
Hata kwa muonekano,zinaonekana kama za kiwema sepetu kidogo.
Chukua P5 utapewa kwa hiyo hela.