Ahsante kwa ushauri wako lkn maisha mazuri sio tu kwa kujiajiri wapo walioajiriwa na wana maisha mazuri hata ww umeadmit kuajiri watu so watu wote wangejiajiri ungepata wapi man power?..tatizo la vijana Tanzania ni investment... We should know how to invest on different things...ukiangalia bakhressa ame invest katika vitu vingi ambavyo mwisho wa siku vinamletea pato kubwa ..mwangalie Dangote yupo kwenye cement,gas hata vyakula...hata bahari imekuwa kubwa kwasababu mito yote inamwaga maji huko....hoja yako nzuri lkn inamapungufu maana unaweza kujiajiri na at the same time ukiwa umeajiriwa...lkn still utahitaji watu wa kuajiri
Wote mpo sahihi,anachohamasisha SS3 ni ni kwamba kuliko kuendelea kupoteza muda na kutafuta kazi kwenye maofisi mbalimbali ukifika mlangoni unakutana na neno 'HAKUNA KAZI' ikiwa miaka inazidi songa mbele na hakuna unachoingiza ila unategemea kutumia tu, kwa nini usifikiri upande wa pili hata ku plan project yako na kuianzisha kidogo kidogo