Ndugu zangu vijana
Naimani kila mmoja popote alipo anahangaika kujitafutia riziki. Wengine kwenye jua na wengine kwenye kivuli. Wengine wamejiajiri na wengine wameajiriwa. Napenda kutambua pia wale ambao wapo makwao wamepumzika wakiwaza maisha yatakuwaje maana hawajajiajiri wala hawajaajiriwa. Wala msijali kama mtafanya maamuzi sahihi sasa hamtajuta kwa muda uliosalia.
Naomba nitoe mifano michache;
Kuna vijana wako pale bank wanahesabu fedha lukuki na nadhani toka asubuhi washahesabu zaidi ya bilioni na kuweka taarifa sahihi kwa ajili ya ukaguzi baadae. Bank itafungwa saa kumi alafu wao watabaki ndani wakibalance hadi saa 11 au 12 jioni ndipo watoke wengine wapande gari za umma na wale wenye za mkopo wapande kurudi makwao. Mwisho wa mwezi watapokea 1,000,000.
2. Kuna wale waliopo kwenye makampuni ya simu hawa hali yao ndio mbaya zaidi kwani wao kuna wanaotoka mchana na wengine wanaingia na wengine wanaingia midnight. Wengi hulipwa kwa masaa na salary before tax Mara nyingi ni laki 4!.
3. Kuna walioko viwandani hawa jamani tupige magoti tusali maana kuna wengine hata sasa wako mahospitali kwa ajili ya afya zao kuwa duni kutokana na mazingira duni ya kazi. Naomba anayesoma akifika hapa akae dakika moja unyamavu kuwaombea.
4. Wapi wale walioko manyumbani wakijaribu kuviziavizia hawa walioko kwenye haya mateso waachie angalau na wao mkono uende kinywani. Hawa hata ukiwaam is wakafanye kazi ya kuchanganya sumu kwa mkono wataenda hata kwa sh500.000 kwa mwezi.
Nini chanzo cha yote haya? Ajira ajira ajira hakuna!!
Ni kweli ajira za kuajiriwa hakuna na kama ziko ni zile mbaya zisizoweka kukaliwa na binadamu anayejitambua.
Ushauri Wangu kwa wote kabisa ni kwamba jitahidini kuunda partnership mjipange mjitahidi kujiajiri kwa kweli muache kutegemea cost of production kuran maisha yenu mtateseka sana. Hii dhana ya kujiajiri inabezwa sana lakini hebu ingia utaona utamu wake. Jiulize hiyo kampuni unayoifanyia kazi inaingia shilingi ngapi kwa siku! Alafu wewe unachukua shilingi ngapi? Ni asilimia ngapi? Usilie bali jitahidi kuwajibika.
Ni kweli wakati meingine kitachukua muda Ila in a long run utakuja kuwashangaa sana walioajiriwa.
Wakati namaliza chuo cha dodoma na kuamua kufungua organization yangu ya kilimo watu waliniona vuvuzela Ila Leo wakipita wanasema huyu jamaa jembe! Mwezi uliopita kwenye branch yetu tumetoa nafasi tano za marketing officer na kuna baadhi nilisoma nao 2012 pale dodoma nimewaona bado wanatafuta kazi. Niliwaonea huruma Ila ndio nimeona niwaandikie haya .
Mwenye masikio na asikie mwenye macho na aone!
Maisha ni ujumla wa maamuzi unayofanya kila uchao