ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Hawana kitu hao, hata maduka ya SH Amon hawajui yako wapo.Wanawake wanazeeka mapema mtaani kwetu. Kila wiki
Thread hii inatufundisha nini? Ukimsubiria hivyo Zari Boss lady utasubiri sana.
Wanawake wanaochakaa ni wale wasiojiweza kiuchumi, lakini wenye nazo bado wapo wapo sana kwenye game mpaka 60 years old huko ndio wanazeeka.
Wame olewa na wana familia zao mbna.Unafikiri Zari Kuna mwanaume Serious wa Kuwa Naye Atatokea katika Maisha Haya? Zari sahizi anatafuta wanaume kwa Udi na Uvumba ila wanaume wengi wamesha Move on toka kwake sio kama ilovyokuwa katika Umri ulee..
Yuko wapi Aunt Ezekiel?, Uwoya na Wolper?
Tafuten hela ,hakuna mkate mgumu mbele ya chai ...Binafsi
nikimtaka mwanamke siangalii ushindani Wala nn, ntapambana Kwa gharama yoyote ile mpk nimpate ndo nafs yangu itulie
Ujue kila mwanamke ana madhaifu yake linapokuja suala zima la kutongozwa, ukiyatafuta ukayajua ka inakua imeisha.
Mf:
1. kama Yuko desperate na pesa,
ntampa pesa
2.kama pesa anazo na zinampa jeuri, namfilisi ili arudi kua na shida na pesa anitafute tukae karibu
3. kama yuko desperate na kazi, ntampa kazi ili kumpata. Akileta jeuri namharibia ili anitafte Tena
4. Kama Kuna mahusiano amekolea yanamuweka bize, natafuta madhaifu ya jamaa, nawachonganisha wagombane.
Afu naingia katikati ya mgogoro wao kwa kujiweka karibu uku nikiboresha kasoro za bwana ake anione ni Bora amsahau kabisa jamaa.Mwisho wa siku binti anahamisha kabisa hisia kwangu. Jamaa anapokonywa tonge.
Mifano Ni mingi mno,
Ila nnachoamini mwanaume huwezi kuishiwa mbinu bhana, vinginevyo hauko serious au hujiamini.
Hivi kwanza mwanaume unakubali vipi mwanamke umtongoze akukatalie mkuu?
Ngoja nikutongoze [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Ngoja nikutongoze [emoji1787][emoji1787][emoji1787]