BaabKubwa Magazine
Member
- Aug 6, 2014
- 7
- 3
wanatumiana....
kwani utamu huwa anapata mwanaume tu
wanatumiana....
kwani utamu huwa anapata mwanaume tu
hili neno linanikera.... "wanaume wanatutumia alafu wanatuacha" utumiwe wewe umekuwa chakula?
wakati unatumiwa wewe ulikuwa unafanyeje?
sema TUMETUMIANA TUKAKOSEANA TUKAACHANA..
2. Hutaki mwenzio atoke nje ya mahusiano kwa sababu ya wivu au magonjwa?
kama magonjwa huko nje si tunatumia kinga? narudi kwako bila kukuletea magonjwa.. shida ni nini?

ila mwisho wa siku anaepoteza ni mwanamke...... kisa cha kuharibiwa whuchiiii!!!?
Hahahahhaaa nimefurahi sana,umeongea ukweliii !!!
mwanamke anapoteza nini???
whuchi bila dushe ungetumikaje????
huo ni ukweli tunajifanyaga tu kusema amenipotezea muda mara kanichezea... ni mwendo wa kuchezeana.