BaabKubwa Magazine
Member
- Aug 6, 2014
- 7
- 3
Msanii wa muziki wa Bongo Flava Meniah Atick aka Meninah hivi karibuni ameachia Track yake mpya ya ‘Pipi Ya Kijiti' ni track inayozungumzia mapenzi na kuwapa somo wanaume, Akiongea kwenye cha E News' Meninah alifuguka hivi .
"Kwenye hii wimbo wangu mpya nimezungumzia wanaume waweze kuwa na mapenzi ya kweli na wapenzi wao coz wanaume kibao wanakuwa hawana Mapenzi ya Kweli kwa Wapenzi wao, wanataka kuwatumuia alafu wanaawaacha na kutafuta msichana mwingine, hiyo ndo sababu ya mimi kutunga ngoma hiyo so ushauri kwa wanaume waweze kutulia coz maradhi ni mengi sasa ni vizuri kuwa na mpenzi mmoja ambaye ni muaminifu ".