Thomas Sankra Jr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 418
- 128
Migogoro inayoendelea katika klabu ya simba inakatisha tamaa, hali hii imesababisha wachezaji wa timu hiyo kukosa morali wa kuitumikia klabu hiyo, moja vunjeni bodi ya usajiri, pili wakati sahihi klabu kuwa kampuni imara yenye nguvu sio kila mtu kuamua lake. Simba bado timu nzuri tatu niwakati wa mabadiliko ya kiutendaji, kimfumo na kiutawala. Tambueni nyumba ni Baba na Mama msingi yani mwenyekiti imara na katibu mkuu imara. Simba mwenyekiti kasharishwa limbwata nini unatalajia.. Katibu mkuu sio imara nini unatalajia., lazima nyumba itayumba tuu ndio simba hilivyosasa.
Jengeni timu acheni utani wa kipu... zi hati wa kimataifa na mchangani.. Eboo niwakati wakati wa kupanda na wakati wa kung’oa kilichopandwa; sasa ni wakati wa kung'oa kilichopandwa. kuna wakati wa kuua na wakati wa kuponya; huu ni wakati sahihi wa kuelekeza maombi kwa mora wetu kuponya kilichouwawa katika klabu ya simba. Kuna wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga; wameshaibomoa klabu ni wakati sasa wa kujenga strong institution ambayo ilibomolewa na wachache. Kulikuwa nawakati wa kutupa mawe sasa huwe wakati wa kukusanya mawe yaliyotupwa kulikuwa na udhaifu wakati wa kutupa mawe.
Tuliomboleza sasa uwe wakati wakurukaruka.. Tulilia sana sasa uwe muda na wakati sahihi wa kucheka muda wa kilio umeshapita na ligi imekwisha. Mabadiliko yawe na lengo ya kujenga timu mtafuteni Michael Wambura mpeni uwenyekiti, mtafuteni mtalaamu wa vita mwituni mwina kaduguda jembe kuna vitu alifanya huko nyuma simba na yanga walifaidi na moja ya matunda yake leo simba na yanga wanaufadhili wapekee yao. Mzee dalali mzuri lakini ni muda wa kuongonwa na vijana wasomi.