Ushauri wa bure kwa wanaotaka kuoa

Hii topic nimeiona mara ya kwanza hapa JF mwaka 2010!!! Nashangaa tena inarudiwa rudiwa kila mara!!!
 
hapo ni kuendela kuwa maskini tu. kwani haiwezekani tukafanya mambo simple. maisha yenyewe magumu. au bora kuwa fisadi ili hayo yote yakamilike.
 
Aiseeeee!

Huyu ninayekaa naye asitegemee mimi kuingia gharama hizi, asante kwa ndoa za jumuiya
 
Hii topic nimeiona mara ya kwanza hapa JF mwaka 2010!!! Nashangaa tena inarudiwa rudiwa kila mara!!!

....., ilikuwa ni kipindi ndo unajiunga JF, so sioni ubaya ikirudiwa:suspicious:. Heshima kwako mkuu
 
Back
Top Bottom