USHAURI WA BURE KWA WAKILI AWADH ALI SAID.
Wakili Awadh tumeona mahojiano yako ya usiku huu na mwandishi wa Azam TV ambacho hakuna asiejua ni TV yenu na CUF na ndio kimbilio lenu kwa muda huu kwenda kulalamika na kutoa mnayoyataka yasikike ambayo ni uongo tena uongo wa mchana.
Bwana Awadh Wakili leo umebugi tena, umebugi maana kwanza umeanza kwa kumshambulia Januari Makamba kwamba kakosea kauli yake aliyoitoa Bungeni kuhusu hali ya kisiasa Zanzibar na kurejewa kwa uchaguzi. Haya twambie basi wewe wakili na hao mawakili wenzako makanjanja Jee Maalim Seif kujitangazia ushindi ni sahihi?
Katika maelezo yako ya leo ukaendelea kusema uongo wa kipemba mtoto wa kiume bila ya junaha wala nakisi pale uliposema huna imani na mahakama! Hata wewe useme hayo?
Ina maana hata mpenzi wako Abduhakim Makamu Mwenyekiti wa ZEC nae pia anakutia kichefuchefu maana na yeye Jaji wa Mahakama ya Zanzibar nani cuf mwenzako na ndie anakusadieni mambo yenu ndani ya ZEC. Ukisema Awadh mengine ubakishe Kaka.!U CUF usikutie upofu fungua ubongo wako na akili yako mengine uyachuje.
Siasa imekufanya hujijui hujitambui unakaa kwenye TV eti huna imani na Mahakama.Kwanza nikuulize mwenye Imani na wewe nani? Wakili kila ukinyamaziwa unazidi tu.Huo uwakili umesoma pekeyako? Au ndio kosa kupelekwa kwenye Tume ya Warioba ndio umeota manywele bado kwa kutaka sifa.
Mengine punguza kaka hayakusaidii kabisa. Na lazima utubu tena maana kila ulilolisimamia limefeli Awadh kaa chini ujitathmini, ujipeleleze na ujiulize unakosea wapi acha jazba.
Tukuelewe vipi Awadh?Umesahau wewe Awadh ulikuwa mjumbe wa Judicial Services Commission kwa miaka 6. Wewe na Wakili mwenzako Nassor Khamis. Majaji takribani wote waliochaguliwa na walioko kwenye mahakama kuu ya Zanzibar umeshiriki kwa njia moja au nyengine kwenye uteuzi wao. Leo unasimama kwenye TV unasema nini?Au kwasababu mlitaka Jaji Mkuu awe Wakili Othman masoud na hakuwa! ndio mumechanganyikiwa?
Unaogopa kivuli chako Baba?.Nakwambia tena Awadh umebugi maana kwa suala la kutokuwa na imani na mahakama huna sera katika hilo. Kwanza unaogopa kwenda mahakamani maana huna kesi ya kufungua. ukamshtaki nani Maalim aliejitangazia ushindi kinyume na katiba au Sir Jecha alietangaza tarehe ya uchaguzi March 20?
Hivi nikuulize katika hawa wawili nani ana kesi ya kujibu?Sishangai wewe Awadh ni mmoja wa waliompeleka mchomo Maalim Seif kwa kumpa ushauri mbovu hadi mkamuingiza kwenye mkenge Baba wa watu maskini.Sasa mumemwacha kwenye mashaka makubwa.Shauri lenu nyie mawakili mabusha na makanjanja.
Nawaumbua tena mmebugi maana!Awadh nikukumbushe wakati wewe ni mjumbe wa Judicial si uliweza kusimamia hadi kusajiliwa majaji na CUF wenzio akina Ishaq Mwanae Maalim Seif, Adam Mshibe. Yahya wa Baraza la Wawakilishi. Ukawafanyia choko choko na kuifanya mahakama tawi la CUF hadi wenzio wakatimuliwa na kupoteza sifa zao kwa siasa chafu halafu leo Mahakama mbaya?
Ninachokushauri usikate tamaa Awadh, endelea kutumika kupiga kelele na kupiga debe, umeanza Azam TV kesho nakushauri wende ITV kesho kutwa Star Tv ukitoka hapo nenda london BBC ukitoka hapo nenda hadi TV Emanuel. Lakini Buno la mbwa mnalo cuf mtake msitake march 20 inawasubiri.
Kwanza hizo nchi mnazoringia Awadh kuwaunga mkono za Magharibi zinakujueni kama nyinyi ni CUF Magaidi Ma terrorists, si mmarekani si muingereza atakae waunga mkono nani mna elements za ugaidi! na hilo haliwaepuki.
Zanzibar mtaifanya Al shabab Base IS na uchafu mwengine mnajulikana mko tayari ki fund magaidi, kutoa training kwao na mnamahusiano nao, sasa wewe hata ukisema hadi . Lakini unachokitaka hukipati wala sioni dalili ya mafanikio.
Ushauri wa bure jipange upya. Kwanza mmegoma sasa tena malumbano ya TV ya nini. Aliegoma hukaa kimya akafanya mengine sio uchuro huo ulioenda kuuonesha leo Awadh.
maskini Wakili Mhemko Awadh bado unaendelea kuhemka tuu pole sana.
Imeandikwa na Mtandao wa Wanyonge Waliowengi
Zanzibar