Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,027
Chura tena!!! duuuJamani TFF ebu sasa hivi kuweni wabunifu basi,kwanza kabisa trophy(ngao/kombe) sio lazima kuliandika kwa kiingereza,kwani hii ni ligi ya waingereza?!yanayoweza kufanyika kwa lugha yetu basi tutumie lugha yetu!!Pili,wale wadada wanaosimama pale kwenye kombe sio lazima tuige kama ulaya eti tuweke 'vimodo' tunaweza weka dada zetu wa kibantu wenye 'chura' wao,na hii itaongeza ladha zaidi kwa sisi wapenda soka.Nawasilisha.
Cc:Karia
Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaa!Mkuu kama nlivoandika,kwanza lugha,huku ni kuendeleza ukoloni mambo leo,pili tuweke wadada wenye mvuto,na kwa sisi wabantu tulio wengi,mdada mwenye chura wake ndo anavuta macho ya wengi si kwa wanaume tu mpk wanawake wenyewe!Kumbe madai yako yamsingi sio lugha inayotumika kwenye maandish yakombe Mimi kama mpelelezi nimegundua huwa unakazi yakuwashangaa wale wadada sasa kilicho kunyima raha nipale ulipo oona wote vimodo hakuna chura hata moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu,sisi vimodo wa kazi gani?!vimodo tuwaachie ulaya na marekani