Ushauri wa bure kwa serikali mpya ya dar slaa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa bure kwa serikali mpya ya dar slaa.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by majata, Oct 17, 2010.

 1. majata

  majata JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Dalili kubwa zinaonyesha ushindi mkubwa wa zaidi ya ule wa kura za maoni za mwanahalisi, kwani kila siku watu wenye roho za kutafuta maslahi zaidi wamekuwa wakijisogeza taratibu kwenye chama kinacho elekea kushinda, kama unabisha hilo jaribu kukaa na watu wanaofanya kazi serikalini ulizia misimamo ya viongozi wao kuhusu upinzani watakwambia mabosi wao wanahaha sana sasa hivi wakihofia kuingia kwa serikali mpya kutawanyang'anya mikate yao, hivyo Dr Slaa anatakiwa AWE MAKINI na WAGENI wanaotafuta MASLAHI badala ya MAENDELEO ya UKWELI Kwa RAIA kwani sisi raia tumeamua KUWAADHIBU Hao WANAOTULAGHA KILA UCHAGUZI WAKATI HAWAJA TEKELEZA YALE WALIYO AHIDI. Dr Kwa wanadamu hakuna ambae HAWEZI KUONGOZA kwa kanuni na taratibu ambazo tumejiweke(KATIBA), Kwani kazi ya mwanadamu aliyopewa na MUNGU ni kuongoza. Wapewe uongozi watu makini wenyetaaluma inayostahili na uwasimamie kila siku nabaadae usikilize vipimo vya maoni kutoka kwa wananchi. Vinginevyo serikali yako itapoteza MVUTO mapema kwa kuwapa mafisadi waongoze NCHI TENA harafu nawewe tutakuadhibu 2015.

  "Zaidi ya yote Muombe Mungu Akuzidishie Hekima Katika Hili"
  "Mungu Ibariki Serikali ya Dr Slaa iliituletee Unafuu wa maisha na angalau usawa wakimaisha hata kwetu watu wa chini, Mungu Ibariki Tanzania"
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hiki ndio cha muhimu zaidi,maomi maana kuna kulewa madaraka pia some times
   
Loading...