Piga chini hii ndito Madame B,juu ya nini inakuweka roho juu mtoto wa kiume.
Kwanza we hendisam,elimu unayo,fuko benki limetuna, ndugu mabilionea kama bishanga unao kibao,tabu ya ninini mwanamke mwenyewe anakugeuza chumba cha gesti aingie atoke aingie atoke,mmwage bana wanawake kibao mjini.
Na kwa taarifa yako jana kaonekana hindu mandal sijui anaumwa nini. Kibaya zaidi mashoga zake kina Zinduna Kongosho King'asti BADILI TABIA gfsonwin sweetlady na Mamndenyi wanamharibu,kutwa kucha ni kusogoa tu kwenye simu na kupeana umbea,utapata mke kweli hapo?
we baba kwa majungu tu hujambo,fuko lako limekushinda kupakata la mwenzio utaliwezea wapi shut your mouth acha wenzio wajinafasi.
Madame B wala hili linalojiita bepari la kihaya lisikuwazishe, unampiga nuksi ya mayai viza na mavi baaasi. kutwa kucha atakuwa anahemea chai ya rangi na vitumbua kwako lol!

Kumbe hata course hizi huwa unafundisha!?? nilidhani ni phyics na bios logos pekee

Mwalimu,hata wewe unayaweza..?? Haaaaaaaa.......!!!!!1
hahahaha! mt nyau hapa wala hapahitaj ufundi ni akili tu ya mtu alokata tamaa ya maisha na ambaye ni mvivu wa kufikiri inahitajika.