ushauri wa bure kwa rais magufuri

ushauri wa bure kwa rais magufuri

nkisumuno

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
208
Reaction score
72
Nakuomba rais ujitahidi kutuweka watanzania tuwe kitu kimoja pasipokujali itikadi baada ya uchaguzi kuna wanaccm wanaodhani nchihii ni yao sass wanajipanga kuwashughulikia wale waliokuwa kinyume na ccm na has a wafanyakazi. Kuna MTU wa ccm alisama ukipita Fulani was ccm cha kwanza washughulikie walimu. Hivyo hiyo kauli ya hapa kazi haiwezi kufanikiwa kukiwa na visasi.

Kwa upande wa walimu naomba shughulikia kero zao kwanza kisha kazi wapo wanaoidai serikali pesa nyingi ,kuna wastafu ambao hawajalipwa mafao yao tangu mwezi wa 12 sasa wanaotarajiwa kustaafu hawawezi kuwa na moyo wa kufanya kazi.elimu itaboreka tu pale walimu watakapotimiziwa madai yao.mwisho katiba mpya ndiyo jambo muhimu katika kuimarisha mfumo ambao utaifanya Tanzania mpya yenye mafanikio.
 
Back
Top Bottom