Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,821
- 50,479
Halafu anaongea kwa kiburi kuonesha kuwa wanaosema uchumi ni mbaya hawajui kitu.Kafulia amekubalia kuweka Professional yake pembeni amekuwa chawa. Shame on him a thousand miles and back.
Kila mtu kwa sasa anajua na anaamini kwamba UCHAWA UNALIPA SANA π³ !David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.
Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.
Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.
Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.
Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.
Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.
Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.
Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
Na hilo ndiyo tatizo la jamii yetu Kwa Sasa.Kila mtu kwa sasa anajua na anaamini kwamba UCHAWA UNALIPA SANA π³ !
So thatβs the case Mazee ππ !
ni muhimu zaidi kuongeza juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe,David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.
Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.
Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.
Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.
Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.
Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.
Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.
Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
Kafuli hajaridhika na kicheo alicho nacho.David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.
Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.
Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.
Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.
Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.
Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.
Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.
Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
Tubiri kajitoa ubongoDavid Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.
Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.
Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.
Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.
Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.
Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.
Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.
Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
Hata mimi hili la kuwalipa machawa humu wamuanzishie nyuzi za kumpamba humu nilishtukia kitambo.Anapambana sana kutunza nafasi yake kwa kumplease mama, kumbuka alipewa uRC baada ya kuachwa na mke, alipopoteza uRC probably alijiwekea nadhiri akikumbukwa tena atamwaga mashairi deile ili aendelee kuwa relevant, so tangu kapewa ile PPP ni kuchonga kwenda mbele na hapa JF analipa chawa wa kutosha ujue! Wanasema kbs mlipaji mzuri sana
Umeelewa nilichoandika ?ni muhimu zaidi kuongeza juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe,
Profession ya Kafulila ni ipi? TukumbusheKafulia amekubalia kuweka Professional yake pembeni amekuwa chawa. Shame on him a thousand miles and back.
Anajaribu kuwa relavant mzee.David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.
Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.
Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.
Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.
Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.
Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.
Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.
Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
π π πProfession ya Kafulila ni ipi?
Ana account tatu humu. Hata zikikaa miezi mitatu zikirudi ni zile zile na habari zile zile.Hata mimi hili la kuwalipa machawa humu wamuanzishie nyuzi za kumpamba humu nilishtukia kitambo.
Huyo ni Dalali/middle man/3rd part wa resource zetu.David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.
Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.
Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.
Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.
Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.
Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.
Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.
Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
Matendo yake ni kama vile mtu umechomwa na mwiba halafu mtu mwingine ndiye ajipe haki ya kutafsiri kiwango cha maumivu unayopitia.Huyo ni Dalali/middle man/3rd part wa resource zetu.
Kafulila a.k.a Tumbili, oyeee!David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.