Ushauri wa bure kwa Diamond

Waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba vyao, wewe pia utakua una roho mbaya ndio maana umeweza kuliona hilo.

Kuna tofauti ya kuwa maarufu na kufanya kazi na watu maarufu nionavyo diamond bado hajakuwa maarufu kimataifa kama baadhi wanavyoamini anachofanya ni kutafuta pesa kwao na kwenda kuwalipa wa nigeria ili arekodi nao,ndio maana kama unavyoona hapati mialiko zaidi ya nchi zilezile za east au europe na usa ambako uwa anakwenda kuwaburudisha wa east africa wenzake.
 

Labda kama tafsiri ya neno MAARUFU itakuwa imebadilishwa basi Diamond sio maarufu kwenye ulimwengu wa muziki wa Africa

Hivi sasa Diamond ni maarufu sana kimuziki Africa anacho hitajika ni kuutumia huo umaarufu kupiga hela tu
 

Jamani chibu ni maarufu mbona amumpendi hvi juzi nimeona mchezaji wa Chelsea anadens nyimbo yake km sio maarufu wamejuaje tena mduara ule. Ata show za uko zinakuja kaandika mbona mhh wivu ni ugonjwa
 

Safi Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…