Sasa kwanini aki comment usicho penda ukamwita mchawi umejuaje? Sometimes tukubali kutofautiana buaana. Hapo ungemjibu kihoja tu ingekua bora zaidi kuliko Ku reach conclusion ya uchawi.