Ushauri wa Bure kwa BASHE, AHAME CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa Bure kwa BASHE, AHAME CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zyansiku, Feb 14, 2011.

 1. Z

  Zyansiku Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF
  Nimekua nikifatilia kauli nyingi ambazo amekua akitoa huyu bwana mdogo ni kauli ambazo haziendani na wana ccm wa siku hizi,jana nikiwa kama mwandishi wa habari nilihudhuria mkutano amabo yeye alialikwa kama mgeni hotuba aliotoa huyu jamaa nikijaua kwanini CCM walimtosa,jamaa anaongea kauli zake hatafuni maneno.
  leo baadhi ya kauli alizotoa zimesomeka katika magazeti ya TZ DAIMA na Mwananchi na hata Mtanzania lakini kauli zake hazifanani kabisa na wana ccm tabia za wana ccm ni kusifia maovu,kushabikia maovu,pia niliwahi kuona ANDIKO LAKE katika mtandao akiunga mkono madai ya wanafunzi wa vyuo vikuu.

  Mara zote najiuliza huyu dogo hajipendi huko anafanya nini,kupitia jamvini hapa nina mshauri BASHE HAMA CCM NJOO HUKU KWA WANA MAPINDUZI WA KWELI huwezi kuonyishea kidole ccm kuhusu ajira,kujenga uchumi imara n.k na ww uko huko huko hama unaogopa nini?

  Makazi ya watu wenye mawazo huru ni CDM sio huko IYENA IYENA.
  Ushauri wa BURE.
   
 2. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mgongoni mwake kuna dubwana ambalo CCM wote wanaliogopa na linaigeuza Serikali linavyo taka lazima awe huru hivyo ni nani wa kumgusa hawajipendi?
   
 3. Z

  Zyansiku Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni DUBWANA gani hilo? namshauri dogo huyu huko aliko siko mawazo yake mara zote hayaendani na wana ccm nilibahatika kusoma hotuba yake alowahi kuitoa 2008 wakati akitangaza kugombea uenyekiti wa UVCCM akiainisha Vipaumbele vyake nikajua huyu DOGO hawatampa hiyo nafasi haya anayotaka kutekeleza ktk jumuiya hiyo ambayo iko mahututi sasa si yale wakubwa zake ccm wanayataka nimekua nikimfatilia na sasa nimeamua kumpa ushauri wa BURE bila kulipia ahame CCM ndipo atakapo weza kutekeleza na kusimamia anayoyaamini,CDM ni mbadala wa CCM na TANU ya mwalimu nyerere.
   
 4. T

  Topical JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Aende chama gani? ambacho kitampa uhuru kama CCM?

  Huko kwingine udikteta, udini, ukabili etc...

  Bashe tujenge chama
   
 5. n

  ngoko JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Zyansiku,
  Hawezi kuhama sisiem maana ni chama anachoamini kinahubiri amani na utulivu, However, leo nimesikiitika baada ya kusoma mistari michache inayoonesha kwa kiasi fulani aina ya watawala wetu .
  Isiah 59:7-10 "...... 7 Their feet rush into sin;
  they are swift to shed innocent blood.
  They pursue evil schemes;
  acts of violence mark their ways.
  8 The way of peace they do not know;
  there is no justice in their paths.

  They have turned them into crooked roads;
  no one who walks along them will know peace.

  9 So justice is far from us,
  and righteousness does not reach us.
  We look for light, but all is darkness;
  for brightness, but we walk in deep shadows.
  10 Like the blind we grope along the wall,
  feeling our way like people without eyes.
  At midday we stumble as if it were twilight;
  among the strong, we are like the dead. "

  May the LORD GOD open the eyes of our leaders so that they lead us to the right destination .
   
 6. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Hatuwezi kuyapata hapa aliyoyasema please
   
 7. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Be careful what you wish, mkuu!!
  Asijetoka akajiunga na upinzania then akawa another Shibuda!!!
   
 8. E

  Elifasi Senior Member

  #8
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yule mkurugenz mtendaj wa habar koopreishn au? Ile kambun ya hilo dude kubwa lililo nyuma yake, la chama?
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mwaka 1995, hiyo mkuu umenikumbusha, ilikuwa bado single mpya ya John Komba
   
Loading...