Wana JF
Nimekua nikifatilia kauli nyingi ambazo amekua akitoa huyu bwana mdogo ni kauli ambazo haziendani na wana ccm wa siku hizi,jana nikiwa kama mwandishi wa habari nilihudhuria mkutano amabo yeye alialikwa kama mgeni hotuba aliotoa huyu jamaa nikijaua kwanini CCM walimtosa,jamaa anaongea kauli zake hatafuni maneno.
leo baadhi ya kauli alizotoa zimesomeka katika magazeti ya TZ DAIMA na Mwananchi na hata Mtanzania lakini kauli zake hazifanani kabisa na wana ccm tabia za wana ccm ni kusifia maovu,kushabikia maovu,pia niliwahi kuona ANDIKO LAKE katika mtandao akiunga mkono madai ya wanafunzi wa vyuo vikuu.
Mara zote najiuliza huyu dogo hajipendi huko anafanya nini,kupitia jamvini hapa nina mshauri BASHE HAMA CCM NJOO HUKU KWA WANA MAPINDUZI WA KWELI huwezi kuonyishea kidole ccm kuhusu ajira,kujenga uchumi imara n.k na ww uko huko huko hama unaogopa nini?
Makazi ya watu wenye mawazo huru ni CDM sio huko IYENA IYENA.
Ushauri wa BURE.