Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,102
- 128,716
Wanabodi,
Mimi miongoni mwa wale watembezi ambao hutembea na Joni Mtembezi, ila hutembea nae siku za Ijumaa jioni na Jumamosi siku nzima!, siku za Jumapili ni mwendo wa ule muujiza wa Masiha, kwenye ile harusi ya Kana!.
Kwa Mkirsto Mkatoliki die had, nyumbani kwake, zaidi ya kuwa kitabu cha Misale ya Waumini, pia anakuwa na Shajara, maji ya Baraka, na ule muujiza wa kwanza wa Bwana wetu Yesu Kristo kwenye ile harusi ya Kana!. Hivyo week days mara moja moja nikijisikia, nasherehekea tuu harusi ya Kana kivyangu vyangu!, leo nimejisikia kuisheherekea, na mara baada ya kupiga tuu ile first sip, nikaisikia sauti, Voices from Within,ikiniambia, nimtumie ujumbe huu rafiki yangu Balozi Humphrey Polepole!,sasa sijui kama hii sauti ni yake YEYE au ni inspirational ya hii harusi ya Kana!。
Tena niwasimulie kisa hiki, ni wakati Polepole akiwa Mwenezi wa CCM Taifa, nikamwambia nataka kujiunga CCM!, akaniambia, wewe ni Alwatan hapa mjini, huwezi kujiunga CCM kimya kimya, lazima upokelewe na Chair mwenyewe! , nilipowaeleza humu jf kuwa najiunga CCM, nilikula vitasa vya kutosha Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair
Hivyo Polepole ni rafiki yangu na nina mkubali sana!.
Uthibitisho kuwa ninamkubali ni huu Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
Juzi kati, nimefuatilia mahojiano yake na Mtozi, Ernest Nyanda, Balozi Polepole akasema expressly, hataki mtu fulani awe mgombea urais wa CCM kwasababu amepitishwa kihuni!. Kwenye huu uhuni, naungana nae, kulifanyika uhuni fulani na mimi pia ni kama yeye, sikuunyamazia,nilimwandikia barua Dada yangu Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa
Sasa ni ujumbe kwa Balozi Polepole, anayeamua nani awe rais wa Tanzania 2025, sio yeye Balozi Polepole, sio hao wahuni anaowasema, sio CCM, wala sio Watanzania watakaopiga kura ile tarehe 29 October, 2025, anayeamua nani awe rais wa Tanzania 2025, ni YEYE pekee!.
Ni YEYE pekee ndie huweka serikali za mataifa!, na sio。sisi binadamu!,kitu anaweza kukifanya binadamu is
just to propose, but God who disposes, hivyo kama Balozi Polepole anadhani ni wahuni ndio wanamuweka rais wa Tanzania 2025, Mheshimiwa sana Balozi Polepole atakuwa is teribly wrong!,hajui mpangaji wa yote ni nani!,mpangaji wa kila kitu ni Mmoja tuu!The One and Only God!, hao wengine wote ni watekelezaji tuu wa mapenzi ya Bwana!。
Kuna mambo hapa duniani ni mambo ya KIMUNGU, na kuna mambo ni mambo ya kishetani!, sio wengi wanaojua kuwa kuna wakati Mungu anaruhusu mambo mabaya ya kishetani kuwatokea watu wake ili kuja kutimiza mapenzi ya Bwana!.
Mfano kule kwenye Bustani ya Aden, baada ya kuwaumba Adam na Eva/Hawa na kuwakataza kula lile tunda, Mungu aliiona mipango yote ya shetani tangu shetani anajigeuza nyoka na kupenye kuingia bustanini, Mungu aliona na akamuacha!.
Shetani baada ya kuingia bustanini, alijigeuza mwanamume bonge la HB, akamtokea Eva, akamtempt, akamuonyesha kwa practical jinsi tunda linavyochumwa, linavyo menywa na linavyomegwa!, shetani na Eva wakamegeana tunda, wakala na huku Mungu anayaona yote na akayaacha!.
Eva baada ya kula tunda na shetani, akampelekea Adam, akamuonyesha jinsi tunda linavyomegwa, Adam akakataa na kusisitiza Mungu ametukataza, Eva akamlazimisha, mbele ya
mwanamke, anayeujua kuutumia uanamke wake kikamilifu!, mwanaume sii
lolote sii chochote!, Adam akakubali kumegeshwa tunda!, wakamegeana tunda, wakala tunda na kwa utamu wa lile tunda, wakaishia zao usingizini!, yote hayo Mungu aliona na akaacha!.
Hata kilichokea Sodoma na Gomora,waliokuwa wanafanya usodoma ule ni malaika wa mbinguni wanashuka duniani kufanya vile vitendo na wanadamu huku Mungu anaona,anaangalia tuu na kuwaacha waendelee!
Akamtoa Lutu na mkewe na mabinti zake wawili na kuwaambia wasigeuke nyuma,mke wa Lutu akageuka nyuma,akageuka jiwe la chumvi!,jee unakijua walichokifanya wale mabinti tena wote wawili walikuwa ni ma bikra?walifanya nini na baba yao?ni usodoma ule ule!baba alimega lile tunda kuondoa zile B zao na kuwatundika wote wawili huku Mungu anayaona yote na kuyaacha na bado alimbariki Lutu na binti zake!hivyo kuna ushetani mwingi tuu Mungu anauacha ufanyike!。
Hata wakati wana Israel, wanaondoka utumwani Misri, kuna mambo mengi mabaya ya kishetani yalitokea, ni Mungu aliruhusu kwa kuufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, ili amuonyeshe utukufu wake. Tenda siku ya mwisho, sio tuu aliua mzaliwa wa kwanza mwanamume kila nyumba, ni mpaka wazaliwa wa kwanza wa mifugo ya wa Misri!, huu ni ushetani mkubwa!, hao wazaliwa wa kwanza wao wamekosa nini?, hadi wa wanyama?!, tena isitoshe wanawake wa Israel, waliambiwa wakaazime dhahabu fedha na vito vya wa Mirsi na kuviiba na kutokomea navyo, huu ni wizi!, ila Mungu aliruhusu!.
Hata King David,shetani wa tamaa ya ngo.. lilimuingia,akamtamani mke wa Uria,akamua Uria na kumtwaa mke wake,akamuoa huku Mungu anaangalia,na bado akambariki na kumzalia Sulemani,hivyo Mfalme Sulemani akawa na shetani la hayo mambo,akaoa wake 700!na bado wakawa hawamtoshi!akatwaa masuriya 300!na bado hatosheki,Queen of Sheba aliomtembelea,akamtamani!akamtundika!na bado Mungu akambariki!
Hata Masiha, kabla hajasalitiwa na Yuda Eskariote, alijua, na akaacha The Role of Yuda Eskarioti Kwenye Ukombozi wa Dunia: Je, Yuda alaumiwe, alaaniwe au apongezwe?! Mungu aliona jinsi Yesu anasulubiwa, alikuwa na uwezo wa kuzuia, lakini aliacha!. Hakuna ushatani mkubwa kama kusulubiwa msalabani hadi kifo msalabani, Mungu aliona na aliacha, ila ni kwa kupigwa kwake sisi tuliponywa!.
Vivyo hivyo Tanzania ni taifa la Mungu!, ni Mungu pekee ndie huweka serikali za mataifa, ni Mungu alimleta JPM akamtwaa, akamleta Rais Samia. Ni Mungu ameruhusu huo uhuni wa kumpitisha Samia kuwa mgombea urais wa CCM, hiyo maana yake ndio mpango wa Mungu Samia awe rais wetu 2025-2030!, na huo uhuni uliofanyika, japo ni mipango shetani, ni Mungu ameuruhusu mipango hiyo ya shetani ndio maana imeweza kutokea na kufanikiwa!, hii maana yake ni Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
Kwa hapa tulipofika, namshauri rafiki yangu Balozi Polepole, kwa vile yeye alikuwepo katika awamu iliyopita,yeye ndie sterling wa ile sinema ya 2019 na 2020,kilichotokea anakijua na alinyamaza, Swali kwa Viongozi/Wanasiasa Wetu: Kama Waliuona Udhalimu wa Awamu Iliyopita, na Wakaunyamazia, Is it Right Kuusema Sasa au Waendelee Kunyamaza?., ushauri wangu hata sasa,
asiendelee kupigia kelele uhuni na wahuni, kwasababu sasa movie director amemuweka
pembeni yeye sio sterling wa
movie ya 2024/2025, ajinyamazie tuu,
yasije yakamkuta yale
mambo yetu yale ya kumkuta!. Maadam ameamua kusimama kwenye unyoofu, lakini bado yuko mule mule, ukiwa mule ni busara kunyamaza!.
Unless kama Balozi Polepole ni
ameongoka kwa kuongolewa
kama Sauli alivyo ongolewa na kugeuka Paulo, inamaana sasa Balozi Polepole ameamua kumkataa shetani!. Ukimtaa shetani, na mambo yake yote lazima uyakatae! namshauri Balozi Polepole, kama ni kweli ameongoka na amemkataa shetani, na mambo yake yote, ayakatae, apishe akae pembeni, ajitenge na shetani ndio awe muhubiri wa hicho anacho kuhubiri kama Mtume Paulo!, lakini kwa vile yeye ni amejiuzulu madaraka tuu lakini bado ni mmoja wao, basi namshauri anyamaze tuu, akae kimya kwasababu ukimya nao ni jibu!. Kwa huo uhuni uliofanyika, hauna kibali cha Mungu, then amwachie YEYE Mwenyewe, Atatenda!. Si lazima kila Ukweli usemwe, ukweli mwingine is FYE only! Uzalendo wa kweli ni pamoja kuwa na Kabbah, unahifadhi ukweli kifuani mwako, unakufa nao
Hata yule Kaka yake, ni Mungu ametenda, na japo hakuna yeyote anayejua sababu ya ni kwanini Mungu ametenda, lakini Mungu ana sababu ambayo wengi hawaijui, lakini kuna wenye jicho la tatu, wanajua ni kwanini alitwaliwa! Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa Mungu, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili
Kuna baadhi ya waliomzunguka Dada, pia wanazijua hizo sababu, na wanaziona zikijirudia kwa Dada lakini hawamwambii, kwasababu Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?
Kuna wengine, wanaompenda Dada kwa dhati, wanazijua hizo sababu, wanapoziona dalili ya sababu Kaka kuanza kujirudia kwa kwa Dada, hawanyamazi, wanamweleza kumsaidia Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!
Na wengine ndio hawa wakosoaji kama Polepole wanamkosoa na wanamweleza ili kumuepusha!, hivyo namwambia na Dada, hawa wanao kukosoa ndio wanaokuambia ukweli, hata kama ukweli huo ni ukweli usiopenda kuusikia!, hao ndio wanaokupenda kwa dhati!, na hao ndio wanakusaidia Upinzani sio Uadui,Wakosoaji ni Watu Muhimu Wenye Upendo wa Dhati, Wanasaidia Kuliko Machawa Wanao Sifia Tuu Hawana Msaada-Dr Ellie Chomoza,Clouds TV。
Kuliko hata hao waliokuzunguka!, wanazijua sababu za yule Kaka yako , wanakuona kabisa unaelekea kule kule, baada ya ile 2024, ni kama ile ya 2019, na hii ya 2025 ni kama ile ya 2020, wanaona kila kitu lakini hawakushauri the right thing, wanakunyamazia hawakuambii ukweli!, hawakusaidii!. Kitu kizuri ni kati ya sasa na October 29, tuna miezi mitatu, ukiamua to do the right thing, muda bado unaruhusu as long as kuna uwepo wa utashi wa kweli wa kisiasa na dhamira ya kweli ya dhati ya kuwatendea haki Watanzania!.
Ukinisoma ukajiona, hujanielewa elewa, naomba unisamehe bure tuu, sio mimi!. haya ni mambo ya Harusi ya Kana!.
Mungu Ibariki Tanzania!.
Paskali
Rejea za Mtoa Mada Kumhusu Polepole
kumhusu
View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ss

- Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
- Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
- Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
- Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
- GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ss