habari wadau..
naona lawama nyingi kwa wanawake nowdays..
kwa ufupi tu wanaume tunapaswa tukubali ukweli maisha yamebadilika, na wanawake hawajaumbwa kuhangaika.. kwa hiyo wanahitaji security.. na zama hizi kila kitu ni pesa.
kama unajijua ni mwenzangu na mimi maisha hayajakaa vizuri. huna kipato cha uhakika tafuta wanawake wa kula bata tu na kila mtu abaki na moyo wake kwao...
ila sio sahihi kuwekeza moyo wote kwa mtu huyo...
mwanamke ukiwa na maisha mazuri hata ukimcheat, ukimpiga anavumilia kiurahis na ana kusamehe ili awe na wewe ila ukiwa mwenzangu na mimi unaunga unga hata uwe gentleman vipi huwa hawadumu na wewe kiurahisi. sababu wanaangalia security