sawa ni mara ngapi imetokea hvyo je ukijaribu kuzima na kuweka switch on tena zinaonekana?Mkuu kwanza asante kwa kujitolea muda wako kushare elimu yako na jamii. Gari yangu( corolla 5A ea100) kunamuda nikiweka switch on haswa engine ikiwa imepoa taa zote zinawaka katika dashboard na nikiwasha gari zinazima kama kawaida, ila nikishatembea nalo kidogo tu nikiweka tena switch on taa ya check engine haionekan katika dashboard na nikiwasha pia haionekani. Naomba ushauri wako
Habari nina gari yangu rosa ni daladala tatizo lake ni kwenye matairi haifiki mwezi vipira vinatumbuka oil inavuja je wakuu nini tatizo? kwani saiv dereva huwa kila siku anaengeza oil ilopotea kesha choka kufungua tairi kubadirisha vipira ,je hapo tatizo lipo wapi au ni dereva mwenyewe uwendeshaki wake ni mbovu? Shukransawa ni mara ngapi imetokea hvyo je ukijaribu kuzima na kuweka switch on tena zinaonekana?
hii inaweza kusababishwa na loose wiring hannes ya dashbord lights
tafuta fundi umeme akusaidie kufuatilie system ya umeme kuna mahali haiko sawa
karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu kuisha kwa matairi, kuna uwezekano matairi yanajazwa upepo kuliko ilivyoshauriwa hivyo fatilia mahitaji ya tairi husika kwamba kiwango gani kinatakiwa, kwa kuongezea matairi yote inabidi yawe na upepo sawa, kuvuja kwa oil itakuwa pale chini ya injini unapomwagia oil kutakuwa kumelegea au inawezekana kuna sehemu ina leakage, hiyo nenda umwone fundi ... !!Habari nina gari yangu rosa ni daladala tatizo lake ni kwenye matairi haifiki mwezi vipira vinatumbuka oil inavuja je wakuu nini tatizo? kwani saiv dereva huwa kila siku anaengeza oil ilopotea kesha choka kufungua tairi kubadirisha vipira ,je hapo tatizo lipo wapi au ni dereva mwenyewe uwendeshaki wake ni mbovu? Shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
Brush zimeisha kwenye self startergari yangu escudo 1993 engine g16a tokea majuzi haipig starter nikipiga inalia "tap tap"
nikajua battery nikaja nikaboost lakin hivo hivo nimepark tokea majuzi natumia bodaboda..
Je inaweza ikawa ni starter
.???
Sent using Jamii Forums mobile app
Pandisha Air Ventilation Grille zote kwa juu.....ukungu unatoka wote kwenye kioo!Nikiwasha A/C kwenye gari baada ya muda kunakuwa na ukungu mwingi kwenye kioo cha mbele-windscreen mpaka nalazimika kutumia wiper. Je tatizo ni nini?
Watu wengine inakuwa ngumu kusaidika coz hawataji aina ya gari wanalomiliki ikiwezekana na aina ya injini...Gari langu inasumbua ukiwasha AC kwa muda mrefu ukiwa kwenye jam inakuwa inazima ghafla, pia muda mwingine huwa kama inatetemeka then unasikia kama kwenye gearbox inagonga. Msaada tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, huu uzi unadhihirisha kiasi gani watanzania tunaendesha magari mabovu aisee. Magu aangalie namna ya kulegeza kodi watu wanunue gari zikiwa walau na miaka 4 toka zitoke kiwandani.
Hii mitumba ya magari ya miaka 10 iliopita ina tabu sana!
maelezo yote utayapata kwenye picha hapoHali yako Boss.Ahsante sana kujitoa kutuelimisha kwa tasnia hii ya magari.Naomba kufafanuliwa huu ya terminology ya magurudumu maana naona namba kwenye mzunguko wa tairi sielewi non ndo nn.ahsante
Ist nahisi ABS yake ina sense vizuri hata mm yakwangu ndivyo ilivyo fundi kakagua kanambia hmna shidaGari yangu IST nikikanyaga brake kali haikamati na inatoa mlio kama inakwaruza. Inataka nikamate brake juujuu ndo ishike. Tatizo nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh mkuu sahivi gari za 2009 sindio watu wanatambia! Road huko, ile Crown mayai GRS200, Wish mayai AE20 na premio ZRT261.Miaka 10 iliyopita ukimaanisha gari za 2009 mkuu?
bado mpk leo tunaulizia kununua alteza,brevis,grande mark 2,cresta etc hahah
Hayo ya miaka 4 ilitopita yaani ya 2015 yatakua na uroda sana mkuu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
kama ukiizima italeta tatizo gani chief?Gari ikichemsha:
Usikimbilie kuizima, iache ikae ikiunguruma then fungua boneti. Tafuta kitambaa kizito au kikubwa na maji safi mengi. Ukiwa umeshika kile kitambaa fungua Radiator valve taratibu (usiifungue kwa mara moja kuna mvuke unaweza kukuua) zungusha mpaka mwisho raditor valve then usiiitoe ila uwe unafanya kama kuinua na kurudisha chini taratibu (mantiki nzima ule mvuke upate nafasi ya kutoka).
Utakapoona hakuna mvuke unaotoka tena ndio ondoa sasa huo mfuniko, chukua maji yako uwe unamimina kwenye radiator usiogope kutokota baada ya muda yataacha (maji yawe mengi sio hizi chupa za lita 1).
Maji yakiacha tokota na yakawa yamejaa basi funga mfuniko wako na hakikisha boneti imejilock ndio ondoa gari!.
NB: Gari ikichemsha usikimbilie kuizima!.
ukitumia wiper ukungu unaondoka?Nikiwasha A/C kwenye gari baada ya muda kunakuwa na ukungu mwingi kwenye kioo cha mbele-windscreen mpaka nalazimika kutumia wiper. Je tatizo ni nini?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dah, huu uzi unadhihirisha kiasi gani watanzania tunaendesha magari mabovu aisee. Magu aangalie namna ya kulegeza kodi watu wanunue gari zikiwa walau na miaka 4 toka zitoke kiwandani.
Hii mitumba ya magari ya miaka 10 iliopita ina tabu sana!
Nahisi hata wajapani wakija bongo wanatushangaa tunawezaje kutumia gari mbovu kiasi hiki! Maana kwao kule washaziyeyusha kitambo wametengeneza masufuria, makarai na frying pan za kupikia mahotelini![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa kawaida rejeta haitakiwi kuwa na maji machache inahitaji kuwa imejaa muda wote wa kazi zake, yakipungua ndio taa inawaka na engine inachemka sababu ya joto kuzidi.kama ukiizima italeta tatizo gani chief?