N nickson1987 Senior Member Joined Aug 16, 2011 Posts 191 Reaction score 24 Dec 28, 2013 #1 Nina milioni moja nifanye biasha gani hapa jiji la Dar es salaam
chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,221 Dec 28, 2013 #2 biashara ya sembe ndo habari ya mjini kwa sasa.
N nickson1987 Senior Member Joined Aug 16, 2011 Posts 191 Reaction score 24 Dec 28, 2013 Thread starter #3 Chaukucha said: biashara ya sembe ndo habari ya mjini kwa sasa. Click to expand... asante
Daddo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 1,435 Reaction score 1,027 Dec 29, 2013 #4 Chaukucha said: biashara ya sembe ndo habari ya mjini kwa sasa. Click to expand... Hili jibu ni dharau kwamba milioni moja siyo hela au unamaanidha nini? Bora ungekaa kimya tu uache wadau waje. Mtoa mada wewe subiri tu kuna watu watakuja na ushauri mzuri.
Chaukucha said: biashara ya sembe ndo habari ya mjini kwa sasa. Click to expand... Hili jibu ni dharau kwamba milioni moja siyo hela au unamaanidha nini? Bora ungekaa kimya tu uache wadau waje. Mtoa mada wewe subiri tu kuna watu watakuja na ushauri mzuri.
omary mwene JF-Expert Member Joined Nov 6, 2013 Posts 293 Reaction score 55 Dec 29, 2013 #5 mmmmmmm hata mimi ngoja nisubilie naweza nikapata kajiushauli.
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,771 Dec 29, 2013 #6 nickson1987 said: Nina milioni moja nifanye biasha gani hapa jiji la Dar es salaam Click to expand... Fungua kijiwe cha chips. It pays kama utasimamia mwenyewe. Tafuta eneo lenye traffic, kama Mabibo hostel..
nickson1987 said: Nina milioni moja nifanye biasha gani hapa jiji la Dar es salaam Click to expand... Fungua kijiwe cha chips. It pays kama utasimamia mwenyewe. Tafuta eneo lenye traffic, kama Mabibo hostel..