Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,285
- 46,006
Chukua hii mengine YaacheeeSikukatishi tamaa kaka ila biashara huwezi ifanya kama bado kuna kitu kingine kinakushughulisha na ukapata matokeo uyatakayo. Kitu chochote dunia hii ili ukifanikishe kwa 100% ni lazima kichukue muda, akili na nguvu zako kwa 100%.
ko unaweza ukafanya ila angalizo "Mshika mawili ".
Ushauli wangu: kwa mtaji ulio nao kuwa dalali yani katika watu wanaokuzunguka cheza na shida zao (uhitaji wao) then unaenda sehem kinakopatikana k2 hicho kwa bei rahisi na kizuri then una mletea kwa bei poa. mfn unaweza anza na vitu kama Simu, Laptop, Laba, saa nk
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Asikopeshee mtuUza vitu vidogovidogo kwa wanavyuo wenzako kama:-
Pipi
Bigijii
Peni
Daftari
Ruler
Karatasi
Kondomu
Pedi
Vocha
n.k...
Utaongezea kulingana na mahitaji ya wahusika..
NB:- USIWE NA AIBU,USIKOPESHE MTU.
Mengine ayaache wakati hayajaletwa?Chukua hii mengine Yaacheee
Eeh ata demu wakeAsikopeshee mtu
Hata unalotaka kuongea wewe nalo aliache pia.Mengine ayaache wakati hayajaletwa?
Shukran mkuuSikukatishi tamaa kaka ila biashara huwezi ifanya kama bado kuna kitu kingine kinakushughulisha na ukapata matokeo uyatakayo. Kitu chochote dunia hii ili ukifanikishe kwa 100% ni lazima kichukue muda, akili na nguvu zako kwa 100%.
ko unaweza ukafanya ila angalizo "Mshika mawili ".
Ushauli wangu: kwa mtaji ulio nao kuwa dalali yani katika watu wanaokuzunguka cheza na shida zao (uhitaji wao) then unaenda sehem kinakopatikana k2 hicho kwa bei rahisi na kizuri then una mletea kwa bei poa. mfn unaweza anza na vitu kama Simu, Laptop, Laba, saa nk
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Asante kwa ushaur kakaUza vitu vidogovidogo kwa wanavyuo wenzako kama:-
Pipi
Bigijii
Peni
Daftari
Ruler
Karatasi
Kondomu
Pedi
Vocha
n.k...
Utaongezea kulingana na mahitaji ya wahusika..
NB:- USIWE NA AIBU,USIKOPESHE MTU.