de fcb1 fan
Member
- May 20, 2013
- 14
- 2
Wadau nimedhamiria kuanza biashara ya bodaboda .............nipo maeneo yaliyochangamka kiasi bodaboda zipo lakini nyingi SAN LG,SUN LG,BETTER, na jamii nyingine zinazofanana na hizo .....nawazo la kununua boxer najiuliza kweli inaweza ikaleta ushindani na hayo matoleo mengine katika biashara????? naomba ushauri na pia je nimpe mtu kwa mkataba au nitumie njia gani....NI HAYO TU WAHESHIMIWA WANAJAMII