Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,350
- 2,530
Asante changamoto itakuja kwenye budget yangu mkuuView attachment 2789256
Hisense wapo vzuri
Iko vzr hii mkuu?Star x
Hakuna TV nzuri ya kichina. Matumizi yake ni baina miezi ya 12 mpaka 24, buina ya muda huo ununuwe model mpya zaidi.Wanajamvi habari zenu,
Jamani nimekuja hapa kuomba ushauri nahitaji kununua TV kwa ajili ya project yangu flani hivi. TV nazotaka ni hizi za kawaida kabisa kulingana na budget yangu, sasa kati ya hizi kampuni za kichina ya koditek, boss, Sundar, Alyon n.k ipi itafaa? Nahitaji nipate walau pc4 za inchi 32.
Nahitaji kwa ajili wa matumizi ya saloon tu.
Brand nyingine hudumu mda gani?Hakuna TV nzuri ya kichina. Matumizi yake ni baina miezi ya 12 mpaka 24, buina ya muda huo ununuwe model mpya zaidi.
.ikiishi zaidi ya hapo umeshinda wewe.
Kumbe una akili ndogo sana mzeeHakuna TV nzuri ya kichina. Matumizi yake ni baina miezi ya 12 mpaka 24, buina ya muda huo ununuwe model mpya zaidi.
.ikiishi zaidi ya hapo umeshinda wewe.
Smart Tv ya pinetech IPO VIZURI Mimi naitumia Hadi kufundishia kuchunguza iwapo umewapa watoto KAZI ya kujiasomea na wanacheza unaweza kuona ukiwa chumbani ,pia unaweza kutumia kuchajishia simu mbili na zaidi.
Mkuu hii itamudu kwa muda gani.? mana naona pesa ndogo afu kama muonekano wa kinyama au ndo ile baada ya wiki mbili majanga.?Kwa bajeti ya 250k
1. Ailyons
2. Star x
3. Itel
4. ALTOP
Zipo vizuri katika matumizi, ukizitunza zinadumuMkuu hii itamudu kwa muda gani.? mana naona pesa ndogo afu kama muonekano wa kinyama au ndo ile baada ya wiki mbili majanga.?